jogoo_dume
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 2,204
- 1,939
Wewe umeelewa kwa nini nimekuquote wewe na hiyo comment?
Umeelewa nilichoandika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umeelewa kwa nini nimekuquote wewe na hiyo comment?
Bado kila timu ina nafasi , point itabaki kuwa ile ile kila kitu kinawezekana. Kwenye kuna mechi 6 tumecheza 2 tumishinda moja na kupoteza moja sio mbaya.Alifungwa bao 5 lakini sio BILA.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji3516]
Sent using Jamii Forums mobile app
VIP game ya As Vita bado mmemprove Wrong??????Huyu jamaa, atapotea kwenye tasnia ya uchambuzi wa soka akiendelea kuinanga Simba. Coz Simba kila mara wanamprove wrong
Mchujo umemtema.Anakuja yanga.
Hivi makambo amewahi itwa hata benchi la timu ya taifa?
Mchambuzi uchwara.[emoji3502]AL AHLY (michezo 3 ya nyumbani)
AS Vita (3 points)
Simba SC (3 points)
JS Soura (3 points)
[emoji3502]AL AHLY (michezo 3 ya ugenini)
AS Vita (1 point)
Simba SC (3 points)
JS Soura (3 points)
Jumla ya Alama baada ya michezo 6 = [emoji2389][emoji2394]
[emoji3502]AS VITA CLUB (michezo 3 ya nyumbani)
Al Ahly (1 points)
Simba SC (3 points)
JS Soura (3 points)
[emoji3502]AS VITA CLUB (michezo 3 ya ugenini)
Al Ahly (0 point)
Simba SC (1 point)
JS Soura (3 points)
Jumla ya Alama baada ya michezo 6 = [emoji2389][emoji2389]
[emoji3502]SIMBA SC (michezo 3 ya nyumbani)
Al Ahly (0 points)
AS Vita (1 point)
JS Soura (3 points)
[emoji3502]SIMBA SC (michezo 3 ya ugenini)
Al Ahly (0 point)
AS Vita (0 points)
JS Soura (1 points)
Jumla ya Alama baada ya michezo 6 = [emoji2393]
[emoji3502]JS SOURA (michezo 3 ya nyumbani)
Al Ahly (0 points)
AS Vita (0 points)
Simba SC (1 points)
[emoji3502]JS SOURA (michezo 3 ya ugenini)
Al Ahly (0 point)
AS Vita (0 points)
Simba SC (3 points)
Jumla ya Alama baada ya michezo 6 =[emoji2389]
Msimamo Kundi D baada ya Mechi 6 kukamilika
[emoji2389]. Al Ahly (16) [emoji3581]
[emoji2390]. AS Vita Club (11) [emoji3581]
[emoji2391]. Simba SC (5) [emoji3582]
[emoji2392]. JS Soura (1) [emoji3582]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mjama bado yupo?[emoji3502]AL AHLY (michezo 3 ya nyumbani)

hahahaahahahahahah au tumpe matembele ayachambue, mpira haumfai😂😂😂😂😂😂😂Huyu dauda alimpa Saoura point 1
Al ahly 16... Achambue mchele tu
Jamaa hata ku present data katika maandishi anashindwa akat JS Soura tayari anapoint8 huko Simba6 ila huyu kilaza anaandika 1kwa Soura na 5kwa simba atati wote washapita hizo point kwa sasa[emoji3502]AL AHLY (michezo 3 ya nyumbani)
AS Vita (3 points)
Simba SC (3 points)
JS Soura (3 points)
[emoji3502]AL AHLY (michezo 3 ya ugenini)
AS Vita (1 point)
Simba SC (3 points)
JS Soura (3 points)
Jumla ya Alama baada ya michezo 6 = [emoji2389][emoji2394]
[emoji3502]AS VITA CLUB (michezo 3 ya nyumbani)
Al Ahly (1 points)
Simba SC (3 points)
JS Soura (3 points)
[emoji3502]AS VITA CLUB (michezo 3 ya ugenini)
Al Ahly (0 point)
Simba SC (1 point)
JS Soura (3 points)
Jumla ya Alama baada ya michezo 6 = [emoji2389][emoji2389]
[emoji3502]SIMBA SC (michezo 3 ya nyumbani)
Al Ahly (0 points)
AS Vita (1 point)
JS Soura (3 points)
[emoji3502]SIMBA SC (michezo 3 ya ugenini)
Al Ahly (0 point)
AS Vita (0 points)
JS Soura (1 points)
Jumla ya Alama baada ya michezo 6 = [emoji2393]
[emoji3502]JS SOURA (michezo 3 ya nyumbani)
Al Ahly (0 points)
AS Vita (0 points)
Simba SC (1 points)
[emoji3502]JS SOURA (michezo 3 ya ugenini)
Al Ahly (0 point)
AS Vita (0 points)
Simba SC (3 points)
Jumla ya Alama baada ya michezo 6 =[emoji2389]
Msimamo Kundi D baada ya Mechi 6 kukamilika
[emoji2389]. Al Ahly (16) [emoji3581]
[emoji2390]. AS Vita Club (11) [emoji3581]
[emoji2391]. Simba SC (5) [emoji3582]
[emoji2392]. JS Soura (1) [emoji3582]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusubiri dakika 90 za keshoShafii akili yake anaijua mwenyewe
Hadi sasa kwenye kundi D hakuna timu imeshinda ugenini, kazi yake huyo Shaffih kama washabiki wa Vyura ilimradi timu itoke nje ishakuwa bora, wakati hajafanya analysis ya kina mwisho wa siku group D hakuna underdog ksb hao wababe wake hakuna mmoja kachukue point 3,naomba mungu kesho atujaalie ushindi azidi kubaki mdomo waziHuyu jamaa, atapotea kwenye tasnia ya uchambuzi wa soka akiendelea kuinanga Simba. Coz Simba kila mara wanamprove wrong