Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Link ni halisi, na nukuu inaonekana kama ulivyoandika mkuu.Nilikuwekea link lakini sijaona acknowldgement yoyote kutoka kwako; unaweza kuthibitisha kuwa link inafanya kazi na hiyo quote niliyoripoti hapo juu ni sahihi kulingana na ilivyoandikwa kwenye link hiyo?
Vipi kuhusu ujio wa Rais kutoka upinzani baada ya huyu mwanamke ni kweli au ni wadau wameamua kuongeza tu mkuu?