Link ni halisi, na nukuu inaonekana kama ulivyoandika mkuu.Nilikuwekea link lakini sijaona acknowldgement yoyote kutoka kwako; unaweza kuthibitisha kuwa link inafanya kazi na hiyo quote niliyoripoti hapo juu ni sahihi kulingana na ilivyoandikwa kwenye link hiyo?
Wacha tuwe wavumilivuInawezekana; ngoja tusubiri
Kisa wewe uliamimi ulichosoma unataka na sisi tuamini tu? Weka video kama ushahidi wa uliyosema, regardless uliona au uliambiwa au ulisoma, wewe ndio umeleta huku, burden of proof is on you , you Charlatan!Kwa vile unaonyesha hujui kusoma ndiyo maana huelewi nilichoandika; badala yake unataka video nikuonyeshe video ya nisemacho, ambapo iwapo ungekuwa unajua kusoma ungeniomba ama reference au link ya source.
Kwa usomi wako umeleelewa kuwa nimeandika niliyoona badala ya kuelewa kuwa nimeandika niliysoma sehemu nyingine. Huo ndio ujinga mkubwa sana unaokusumbua wa kutoajua kusoma, na inaturudia tena kama taifa iwapo mtu kama wewe unapewa kusaini mkataba kwa niaba ya nchi, utaanguka wino bila kujua kimeandikwa nini ndani ya mkataba huo
Mi naomba video, au angalau audio clip.., ni hayo tuHiyo sio stori ya kutunga. Waliokuwepo wakati huo walisikia na wanashuhudia.
Teknolojia ya mawasiliano haikuwa imara kama ilivyo sasa.
Na bado unazidi kuonyesha huwa hukui kusoma kwani post yangu hiyo haikuonyesha kuwa mimi niliamini article hiyo. Kama utataka kufaidika na mtandao katika kupata taarifa mbalimbali, jifunze kusoma na kuelewa, siyo kusoma sentensi moja moja bila kuunganisha kuelewa habari yenyewe.Kisa wewe uliamimi ulichosoma unataka na sisi tuamini tu? Weka video kama ushahidi wa uliyosema, regardless uliona au uliambiwa au ulisoma, wewe ndio umeleta huku, burden of proof is on you , you Charlatan!
Weka video au endelea na wengine.., sio lazima kuiweka.., ila weka kama unayo..Na bado unazidi kuonyesha huwa hukui kusoma kwani post yangu hiyo haikuonyesha kuwa mimi niliamini article hiyo. Kama utataka kufaidika na mtandao katika kupata taarifa mbalimbali, jifunze kusoma na kuelewa, siyo kusoma sentensi moja moja bila kuunganisha kuelewa habari yenyewe.
Post yangu hiyo iliripoti nilichosoma bila kuweka conclusion yoyote iwapo NilikubaLiana au sikukubaliana nayo. Mtu yoyote mwenye uelewa wa kusoma ataliona hilo waziwazi