Utabiri wa Sheikh Yahya

hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."πŸ’—β€πŸ’—β€πŸ’—πŸ’—πŸ’₯
 
Alifaeiki 2011 na robotatu ya utabiri umesoma sawa, tuingoje robo iliyosalia.
 
Ushahidi mkuu wa wakati huo walivyosema
wakati huo hizi insta sijui whatsap hata youtube zilikuwa bado. blogs kama ile ya michuzi ndo zilikuwa mpango mzima. ukipita huko unaweza kuokoteza kitu.

ila ishu ya wapinzani kuchukua nchi sio kweli, hakuisema au sikuwahi kuiskia
 
utabiri huo ulifanyika na huyo sheikh akiishi magomeni pale hata leo panaitwa kwa sheikh yahaya. kazi yake kuu ilikuwa iyo ya kutabiri matukio mbalimbali nchini. kipindi icho Jk yupo kipindi chake cha kwanza cha raisi akasema ameona nchini inatawaliwa na raisi mwanamke ila hakusema ni lini itatokea ivo.

watu wakacheka sanaπŸ˜†na magazeti yakaandika sana. wengine wakidhani labda sheikh yule kachanganya mafaili au ndo kazidiwa na uzee. na kweli kwa kipindi icho uo utabiri haukuwa na maana kwa sababu nchi ilikuwa inaelekea kwenye uchaguzi.

JK alikuwa anamaliza kipindi cha miaka mitano ya mwanzo hlf atetee kipindi chake cha pili na kwa utaratibu wa ccm ni lazma JK angepitishwa tu.

kwaiyo kwa wakati ule utabiri ulikuwa hauna maana na wengi waliona ni kichekesho au ndoto za alinacha na sababu kubwa ni hiyo Jk alikuwa anaelekea kutetea nafasi yake kwa kipindi cha pili na hakukuwa na dalili kama chama chake au wananchi wangemkataa na hata huko ccm kwenyewe hakujawahi kusikika wanataka raisi mwanamke.

kwaiyo ilikuwa kichekesho sana lakini kumbe bdae sana ikaja kutimia. hata sheikh mwenyewe hakumshuhudia raisi mwanamke maana alikwishatangulia mbele ya haki kitambo.
 
Juu ya Hilo Kwa Huyo mwanamke Sahauni. (I know what I'm saying.) And why, She shall live more than Maria Nyerere. Mark those Words. ( Anaishi zaidi ya Mama maria Nyerere.) Weka akiba ya Hili kwa Watakao jaliwa kuishi kitambo hicho.
 
 
Chai

Sheikh Yahya gani huyo aliyefariki 2021?
 
CCM watahakikisha huo utabiri hautimii.
 
CHADEMA iko katika hatua za mwisho kabsa kuchukua dola.
 
CHADEMA iko hatua za mwisho kabsa kuchukua dola.
 
Alikuwa kitten...g
 
Hangaya akiona huu utabiri kyupi kinajaa mavi.
 
Tunaimani huu utabiri utatimia.Maana tunaona kazi anayofanya huyu mwanamke ipo chini ya kiwango.Hii itapelekea watu kuwachagua wapinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…