Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Haahaa ulitaka asife. sote twafa ni muda tu.Akatabiri halafu akafa, yeye mbona hakujitabiria 😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahaa ulitaka asife. sote twafa ni muda tu.Akatabiri halafu akafa, yeye mbona hakujitabiria 😜
huo utabiri wa raisi mwanamke ni kweli ulikuwepo inawezekana member wengine walikuwa wadogo miaka hiyoAlisema wapi? Maana hayo ni maneno umeandika wewe
huo utabiri wa raisi mwanamke ni kweli ulikuwepo inawezekana member wengine walikuwa wadogo miaka hiyo
hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."💗❤💗❤💗💗💥Sheikh Yahya alisema!
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Sheikh Yahya alifariki 2021
Alifaeiki 2011 na robotatu ya utabiri umesoma sawa, tuingoje robo iliyosalia.Sheikh Yahya alisema!
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Sheikh Yahya alifariki 2021
wakati huo hizi insta sijui whatsap hata youtube zilikuwa bado. blogs kama ile ya michuzi ndo zilikuwa mpango mzima. ukipita huko unaweza kuokoteza kitu.Ushahidi mkuu wa wakati huo walivyosema
Sheikh Yahya alisema!
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Sheikh Yahya alifariki 2021
ChaiSheikh Yahya alisema!
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
sheikh yahya alifariki 2021
Una miaka mingapi?Sheikh Yahya alikuwa mpumbavu flani hajawahi kutabiri kitu na kikatokea.
CCM watahakikisha huo utabiri hautimii.Sheikh Yahya alisema!
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Sheikh Yahya alifariki 2021
🤣Alisema wapi? Maana hayo ni maneno umeandika wewe
CHADEMA iko katika hatua za mwisho kabsa kuchukua dola.Sheikh Yahya alisema!
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Sheikh Yahya alifariki 2021
CHADEMA iko hatua za mwisho kabsa kuchukua dola.Hichi kitu ccm wanakipinga kwa nguvu zote, ila ni kweli alisema. Na video zake zenye ushahidi zimefutwa kwa nguvu zote mtandaoni.
Alishajitabiria kifo chake kwa kusema tarehe hiyo ndo mwisho wa dunia kumbe ndo mwisho wake yeye.
Mpaka sasa 75% ya utabiri wake umetimia.
R.i.p Chief
Alikuwa kitten...gHichi kitu ccm wanakipinga kwa nguvu zote, ila ni kweli alisema. Na video zake zenye ushahidi zimefutwa kwa nguvu zote mtandaoni.