Utabiri wa shekh Yahya - "baada ya Raisi mwanamke upinzani kuchukua nchi"

Utabiri wa shekh Yahya - "baada ya Raisi mwanamke upinzani kuchukua nchi"

Mejasoko

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
298
Reaction score
600
Nimeikuta hii mahali wakuu, ni kweli hii au wanazengo wamejiongeza?
 
Attachments

  • Screenshot_20241227-074415.jpg
    Screenshot_20241227-074415.jpg
    249.5 KB · Views: 10
Hiyo imeshaletwa hapa mara kadhaa imejadiliwa kiasi cha kutosha.
 
Huyu mzee alikuwa mchawi tu. Toka lini mchawi akajua kesho ya mtu? Mungu pekee ndiye ajuaye. Tusipende kumvika utukufu shetani.
 
YALIYOSEMWW YOYE NI KWELI KASORO WAMEONGEZA KIDOGO HAPO.

HAKUTABIRI KABISA KUHUSU UPINZANI KUCHUKUA NCHI.
 
YALIYOSEMWW YOYE NI KWELI KASORO WAMEONGEZA KIDOGO HAPO.

HAKUTABIRI KABISA KUHUSU UPINZANI KUCHUKUA NCHI.
Hapo sawa,maana la upinzan kuongoza nchi muda wake bado sana

Siku katiba ikibadilishwa na kukawa na tume huru,hapo kidogo huenda upinzan wanaweza kufanya kitu
 
Back
Top Bottom