Serikali iondoe mrundikano wa posho kwa wabunge na fedha itakayookolewa iingizwe kwenye mfuko wa bima ya afya kwa watu wote!
Uko na negativity kinoma!Hali ya kiuchumi inaenda kuwa mbaya zaidi, pato la mtu mmoja mmoja litaathirika sana, wafanyakazi wa umma wataendelea kuwa na hali ngumu, sekta binafsi itazidi kudidimia.
Hata misaada toka nje inayosaidia bajeti yetu nayo itapungua sana kama sio kukoma kabisa na hili litasababisha wizara nyingi kushindwa kupata pesa wanazohitaji toka serikali kuu kwaajili ya matumizi yao.
Lakini pamoja na hayo yote, wapo waimba taarabu wanaoendelea kuisifia serikali kama kasuku, hawa hawajielewi wala hawaelewi chochote kuhusu maendeleo ya mtu mmoja mmoja, wanaimba mapambio kutwa wakati utakuta wanashindia mlo mmoja kama misukule, kuwa na watu wa aina hii kwenye taifa changa na masikini kama letu ni laana.
Na wengi wao wanajidanganya sisi sio masikini, hawakumbuki nusu ya bajeti yetu inategemea misaada toka kwa wafadhili, bila misaada ya wazungu tunakuwa na bajeti hewa kila siku isiyotekelezeka, wanaona raha kutaja tu zile tarakimu (trilioni & bilioni) kule bungeni wakati wa bajeti, lakini ukija kwenye uhalisia hawapeleki hata nusu ya mahitaji kwa wizara husika.
Ukweli wa aina hii wapo wajinga wasiotaka kabisa kuusikia, wanaona raha kuendelea kuishi ndotoni wakijiliwaza kwa uwepo wa Bombardier angani, wanaishi kama mazombi wa old stone age.
Unataka niweke positive kwenye negative? you must be mad while i'm not, huo ndio ukweli mchungu muusome na kuuelewa.Uko na negativity kinoma!
Siwezi kuusoma upupu.Unataka niweke positive kwenye negative? you must be mad while i'm not, huo ndio ukweli mchungu muusome na kuuelewa.
Bwege kweli, kabla hujausoma tafuta ndimu ulambe, ujumbe muafaka kwa vibuyu wa sampuli yako.Siwezi kuusoma upupu.
Nahighlight kwanza, ndio kama ni ujumbe mzuri ninausoma.
Sawa.Bwege kweli, kabla hujausoma tafuta ndimu ulambe, ujumbe muafaka kwa vibuyu wa sampuli yako.
Serikali iondoe mrundikano wa posho kwa wabunge na fedha itakayookolewa iingizwe kwenye mfuko wa bima ya afya kwa watu wote!
Kama ndio huo ukweli nani atausoma na kuelewa, wewe je unajitoa!Unataka niweke positive kwenye negative? you must be mad while i'm not, huo ndio ukweli mchungu muusome na kuuelewa.
Walishindwa na nani kwenye sanduku la kura; Polisi? NEC, Wakurugenzi, au Kura feki?Kama ndio huo ukweli nani atausoma na kuelewa, wewe je unajitoa!
Hao walishindwa kwenye sanduku la kura sasa mnawasaidia kujifariji kwa dua mfu. WAPE POLE na waendelea kuomba dua ovu ziwarudie wenyewe
Serikali iondoe mrundikano wa posho kwa wabunge na fedha itakayookolewa iingizwe kwenye mfuko wa bima ya afya kwa watu wote!
Hii ni piont nzuri sana. Na ikiwezekana wapungizwe mshahara. Ila bunge hili nani atakae kubali hiyo proposal?Serikali iondoe mrundikano wa posho kwa wabunge na fedha itakayookolewa iingizwe kwenye mfuko wa bima ya afya kwa watu wote!
Sema na wewe upunguziwe mshahara wako.Serikali iondoe mrundikano wa posho kwa wabunge na fedha itakayookolewa iingizwe kwenye mfuko wa bima ya afya kwa watu wote!
Mnatuonea sisi wabungeSerikali iondoe mrundikano wa posho kwa wabunge na fedha itakayookolewa iingizwe kwenye mfuko wa bima ya afya kwa watu wote!