Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Mnatuonea sisi wabungeSerikali iondoe mrundikano wa posho kwa wabunge na fedha itakayookolewa iingizwe kwenye mfuko wa bima ya afya kwa watu wote!

Mnaonewa nn? simlikopeshwa .Ubunge Sasa niwakati wakuulipaMnatuonea sisi wabunge
Kama kulikuwa na uonevu, wizi na mapungufu kwenye mchakato wa Uchaguzi Mkuu, jibu siyo kelele za mitandaoni, maandamano yasiyo na kikomo au kuomba msaada wa mabeberu.Walishindwa na nani kwenye sanduku la kura; Polisi? NEC, Wakurugenzi, au Kura feki?
Amka ndotoni, dunia nzima iliona lile igizo lenu la Oktoba 28.