Kama kulikuwa na uonevu, wizi na mapungufu kwenye mchakato wa Uchaguzi Mkuu, jibu siyo kelele za mitandaoni, maandamano yasiyo na kikomo au kuomba msaada wa mabeberu.
Kwa kuwa viongozi wa upinzani wamekuwa wakidai utawala wa sheria, basi tulitegemea wawe mfano wa kufanya hivyo, kitendo ambqcho kingewajengea imani ya kuaminika na wapiga kura. Tofauti ya kufanya hivyo ni siasa za majitaka, kutafuta huruma kwa jamii ya ndani na nje ya nchi. UPUMBAVU NA ULOFA wa kisiasa