Utabiri wa ukweli: Yanga atashinda 4-0 na Simba atakandwa 3-1

Utabiri wa ukweli: Yanga atashinda 4-0 na Simba atakandwa 3-1

Weekend itakua ya utulivu Sana simba akikandwa .
Niamini mkuu weka mkeka yaani lazima utick tabiri zangu huwa zinatokea.

Kafatilie uzi ule wa yanga 5 simba 1
Nilitabiri mule kuhusu kipigo hicho kabla hata ya mechi kuanza na ikatokea kweli nenda page za mwanzo
 
Kichaa kimekuwamba...
Sisi sio kama nyie...
Ni kweli
Sababu yanga hawachezi luza kwa wazembe wapo champions league.

Kwahiyo nyie Chezeni na kina Dib wa fc constantine
 
I salute you kinsmen.

Huu ni utabiri halali kabisa wa game zote za Simba na Yanga

Yanga atashinda goli 4
Aziz Ki moja, Mzize moja, Dube, Pacome moja,

Simba watakandwa 3-1

Goli moja la penati baunsa Ateba atafunga .
Sawa Sheikh Yahaya
 
Back
Top Bottom