Utabiri wa ukweli: Yanga atashinda 4-0 na Simba atakandwa 3-1

I salute you kinsmen.

Huu ni utabiri halali kabisa wa game zote za Simba na Yanga

Yanga atashinda goli 4
Aziz Ki moja, Mzize moja, Dube, Pacome moja,

Simba watakandwa 3-1

Goli moja la penati baunsa Ateba atafunga .
Kumbe calculator bado zinatembea mpka sasa!!!
 
Kesho saa 12 na madakika SAYVILLE tuje hapa
1000041951.jpg

Picha kama linakuja hivi halafu linakataa.
 
I salute you kinsmen.

Huu ni utabiri halali kabisa wa game zote za Simba na Yanga

Yanga atashinda goli 4
Aziz Ki moja, Mzize moja, Dube, Pacome moja,

Simba watakandwa 3-1

Goli moja la penati baunsa Ateba atafunga .
Uchawi hauwezi kukufikisha popote
 
Muwe mnakuja kuja jamani wadada wa gusa achia tulale...kaka zenu wawaone...
Ndiyo hapo sasa sijawahi kumuona humu sana sana anakuwaga kule jukwaa la mahusiano angekuwa huku tangu kitambo ningemjua
 
Kuanzia leo unijue mimi ni yangaaaaaa
Eeh hapo nimeshakujua huku ni tofauti na majukwaa yenu ya chit chat

Nawajua yanga wote kasoro wewe tu vizuri umejitambulisha usihofu hapa kolo wote wanadunda

Na simba nayajua yote mpaka Hilp jimama la hovyo Kalpana na mengine mazee.
 
I salute you kinsmen.

Huu ni utabiri halali kabisa wa game zote za Simba na Yanga

Yanga atashinda goli 4
Aziz Ki moja, Mzize moja, Dube, Pacome moja,

Simba watakandwa 3-1

Goli moja la penati baunsa Ateba atafunga .
Kasongo havuki makundi wewe
 
Eeh hapo nimeshakujua huku ni tofauti na majukwaa yenu ya chit chat

Nawajua yanga wote kasoro wewe tu vizuri umejitambulisha usihofu hapa kolo wote wanadunda

Na simba nayajua yote mpaka Hilp jimama la hovyo Kalpana na mengine mazee.
Asante sana
 
Eeh hapo nimeshakujua huku ni tofauti na majukwaa yenu ya chit chat

Nawajua yanga wote kasoro wewe tu vizur
umejitambulisha usihofu hapa kolo wote wanadunda

Na simba nayajua yote mpaka Hilp jimama la hovyo Kalpana na mengine mazee.
Wewe muimba singeli unadhani kila mtu humu ni jimama linalokulea huko mtaani kwenu eee...
Jingaaa
 
Back
Top Bottom