Utabiri wa ukweli: Yanga atashinda 4-0 na Simba atakandwa 3-1

Utabiri wa ukweli: Yanga atashinda 4-0 na Simba atakandwa 3-1

Naamini inawezekana. Hiyo MC Alger iliyosawazishiwa na Al Hilal na baadae kufunga Mazembe kwa penalty iko urojo urojo sana. Yaani Mazembe ni ya kuishia kuikanda goli 1 tu? tena la penalty?

Hizo mechi 2 zilinipa picha kwamba MC Alger anaweza kupasuka mbele ya Yanga.
 
Uto kila wakiota robo fainali, picha linalowajia kwenye usingizi ni hili

1000041951.jpg
 
Back
Top Bottom