Utabiri wa ukweli: Yanga atashinda 4-0 na Simba atakandwa 3-1

Utabiri murua hivi club bingwa na shirikisho nani mkubwa
 
Naamini inawezekana. Hiyo MC Alger iliyosawazishiwa na Al Hilal na baadae kufunga Mazembe kwa penalty iko urojo urojo sana. Yaani Mazembe ni ya kuishia kuikanda goli 1 tu? tena la penalty?

Hizo mechi 2 zilinipa picha kwamba MC Alger anaweza kupasuka mbele ya Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…