Utabiri wa Yahya upo mbioni kutimia?

Utabiri wa Yahya upo mbioni kutimia?

Iko hivi Upinzani Mwaka huu ujao hawatachukua Upinzani! Baada ya miaka 5 kuisha yaani mwaka 2030 ndio Upinzani Utachukua nchi Sio kwa uchaguzi ujao!

Jaribu kuyadadavua vizuri. Nina uhakika mwaka 2030 Upinzani wanachukua.
Events zinaonesha
 
Acha kupotosga ,hakusema mwisho wa dunia.alisema kuna yukio litatokea siku hyo ambayo alikufa
huwenda nimesahau lkn nakumbuka alisema kitu na alikufa hiyo tarehe
 
Kuna video niliona huyo mzee anasema utabiri wa kweli ni ule ambao sio rahisi kuaminika watu wakiusikia, sio ule ambao unaeleweka na kudhaniwa na wengi.
 
Huu utabiri siupingi, lakini sikumbuki aliutoa lini!
Ila kabla ya election 2010 Mzee alitoka hadharani na kutabiri kuwa atakayeshinda 2010 ni mwanamke. Baada ya matokeo ya election 2010 waandishi walimhoji kuhusu usahishi wa utabiri wake wa awali! Jibu lake lilikuwa, alikuwa sahihi kwani aliyeshinda ana nyota ya Kike. Kama nimekosea nipo tayari kusahihishwa.
 
Hiyo statement watu wanaipinga ila ndo ukweli huo, Mwamba hakuwaga na kazi mbovu kwenye utabiri na kila alichokisema kimetimia tupo asilimia 70% sasa. Kimzaa mzaa tu mapinduzi yanafanyika 2025.
 
Back
Top Bottom