Mimi nasema hivi HATUTOBOIII!!!mpira ni sayansi na sio hamasa!!kweli leo tunatiana moyo kuwa DRC, ilikuwa zamani kwa sasa hatuwezi!!eti wao wanacheza ki star, sisi ki timu!!hahaaa!Magwiji wa footbal tukutane hapa leta utabiri wako dhidi ya mechi la kimataifa baina ya Taifa stars vs DRC nikianza mm utabiri wangu ni kama ifuatavyo
Taifa stars anashinda 3....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kuepusha aibu za mbeleni bora ikalishwe kesho
Kudra haziwezi kushinda uwezo, huna ubavu wa kumfunga congo kwenye mechi kama hizi!!!kesho mtachezea kipigo cha mbwa koko!!mpira sio hamasa, kwa wachezaji gani ulionao?rudia tena kutabiri mkuuu...........utaaibika kesho tunashnda
Mkuu kwani wewe haujaona maombi yaliyopigwa na WatanzaniaMimi nasema hivi HATUTOBOIII!!!mpira ni sayansi na sio hamasa!!kweli leo tunatiana moyo kuwa DRC, ilikuwa zamani kwa sasa hatuwezi!!eti wao wanacheza ki star, sisi ki timu!...
Sasa maombi mkuu!!mtakuwa mnamchosha Mungu, viwango hakuna, utegemee kudra?!!kwa wachezaji gani mlionao?!!nasema hivi kwa umuhimu wa mechi hii kwa wacongo hawawaachi!mkuu kwani wew haujaona maombi yaliyopigwa na wa TZ
kweli kitaumanaSasa maombi mkuu!!mtakuwa mnamchosha Mungu, viwango hakuna, utegemee kudra?!!kwa wachezaji gani mlionao?!!nasema hivi kwa umuhimu wa mechi hii kwa wacongo hawawaachi!!!sasa nyie kaeni na history tu mala kwao tumetoka nao draw!!jana wamekuja na msafara wa watu 60!!wakiwemo ma legendary kina NONDA SHABANI!!
Huo ndio ukweli mkuu, shughuli imalizwe tu leo hii tusije kupotezeana muda baadae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nacheka kama vile mazuri kwa Taifa langu, eti aibu za mbeleni. Nawakumbuka Saudi Arabia walipigwa goli nane
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]