Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🚮🚮🚮🚮🚮🚮Mimi nasema hivi HATUTOBOIII!!!mpira ni sayansi na sio hamasa!!kweli leo tunatiana moyo kuwa DRC, ilikuwa zamani kwa sasa hatuwezi!!eti wao wanacheza ki star, sisi ki timu!!hahaaa!!!tuseme ukweli kumfunga congo ni ngumu sana, lazima tuambizane ukweli, na ninafahamu baada ya mechi kesho, wachambuzi wote watabadirisha maneno, kuwa Congo wanawachezaji wa kimataifa wengi!!miaka yote tunaenda kwa kubahatisha bahatisha tu, ila bahati huwa ina kikomo chake!!leo kuna mchambuzi wa soka kwenye radio moja amesema ukweli, kuwa tuache kujazana upepo , kuifunga congo ni ngumu sana, ameambulia kuambiwa kuwa eti yeye sio mzalendo anatumika!!
HATUTOBIIII!!!

Weka hata kimba kabisa!!lakini huo ndio ukweli mchungu.Ndio maana kocha wa uganda alisha waambia kuwa muda mwingi mnautumia kwenye hamasa badala ya kufundisha mpira!!mnakula za uso, mnatuliaaaa!!!🚮🚮🚮🚮🚮🚮
lazma tutoboe ad group stage mkuuKwa timu yetu ilivyo inafikirisha sana, but kwa hamasa tunaweza pata ushindi ila sio kwa kuizidi Congo uwezo na tactics.
By the way ukiniuliza natamani nini, nitakwambia ni bora tungeanza kujipanga kushiriki afcon mara nyingi kuliko kukimbilia WC.
ALL THE BEST TO TANZANIA.
#THEBETTERTEAMWILLWIN.
lazma tutoboe ad group stage mkuu
tutapiga maombi heavy plus nyungu..........mpaka tutoboeHii ndio group stage.. baada ya hapa inafata playoffs ya timu 10. Hapo ndipo mwisho wa safari kwa nchi za ukanda wetu.
Maana unakutana na ma algeria huko unapigwa zako 7 kwa 0 unajicheka mwenyewe..
Hii mechi inanini ndani yake mbona watu mnaizungumzia hivi..?