Utabiri wako kwa mechi ya Taifa Stars dhidi ya Democratic Republic of Congo

Utabiri wako kwa mechi ya Taifa Stars dhidi ya Democratic Republic of Congo

Hata Stars ikifuzu ni kujitafutia fedheha tu huko mbele ya safari.

Itakuwa ndiyo laughing stock ya tournament kutokana na vipigo heavy.[emoji16].
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nasemaje, na hili Mungu kaingilia kati kutunusuru na aibu ya karne.
 
I you knew it why you said we would win the tournament?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chini ya ccm mtashinda njaa tu
ccm haina makosa mkuu
 
Back
Top Bottom