Utabiri wako kwa mechi ya Taifa Stars dhidi ya Democratic Republic of Congo

🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
lazma tutoboe ad group stage mkuu
 
Ukweli mchungu ni huu

Hakuna cha Taifa starz wala Congo wala madagascar . Wote hao hakuna ataefuzu kwenda Qatar
acha makasiriko mkuu...........QATAR tunaenda mapemaaa
 
lazma tutoboe ad group stage mkuu

Hii ndio group stage.. baada ya hapa inafata playoffs ya timu 10. Hapo ndipo mwisho wa safari kwa nchi za ukanda wetu.

Maana unakutana na ma algeria huko unapigwa zako 7 kwa 0 unajicheka mwenyewe..
 
Hii ndio group stage.. baada ya hapa inafata playoffs ya timu 10. Hapo ndipo mwisho wa safari kwa nchi za ukanda wetu.

Maana unakutana na ma algeria huko unapigwa zako 7 kwa 0 unajicheka mwenyewe..
tutapiga maombi heavy plus nyungu..........mpaka tutoboe
 
Kwenye ndoto niliyoota; Majira ya saa tisa usiku ndoto ilivyo anza tayari Taifa Stars 1 Congo Drc 1 . Dakika za baadae nikamuona Sammata akiifungia goli kali Taifa stars . Mpaka dakika 90 zinaisha , Taifa Stars inaibuka na Ushindi wa goli 2 na Congo Drc 1 .
 
Hata Stars ikifuzu ni kujitafutia fedheha tu huko mbele ya safari.

Itakuwa ndiyo laughing stock ya tournament kutokana na vipigo heavy.😁.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…