Utabiri wako kwa mechi ya Taifa Stars dhidi ya Democratic Republic of Congo

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ natamani kuandika lakini naogopa
 
Inapigwa 2 kwa sifuri

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja tusubiri...........but tusije kimbia uzi huu
 
Hata Stars ikifuzu ni kujitafutia fedheha tu huko mbele ya safari.

Itakuwa ndiyo laughing stock ya tournament kutokana na vipigo heavy.😁.
hapana mkuu.......kua na subiraaaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tujiandae kwa kuvaa kofia ngumu kichwani maana kitu kizito chaweza kutuangukia.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ QATAR lazma tuende
 
Naona tuu Vumbi likitimka kutoka congo
Hivyo ni vita vya Vumbi la Congo Vs Alksasusu
congo dust isha expire now daysπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Taifa Stars watakung'utwa tu kwa vile CCM na Serikali imetia mkono hapo. Hawa watu ni nuksi sana kwani miaka 60 ya Uhuru wako madarakani lakini Tanzania ni.mojwapo ya nchi masikini sana duniani.
lkn pia Tanzania ndo inaongoza africa kwa kusambaza umeme vijijin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…