Sio uchawi kaka. It's just arithmetic and geometry , sacred geometry to be preciseWw mchawi nn
Vipi bado unahisi ni chuki?Daah nne tena bila kwa Simba hii, hizi ni chuki binafsi
Nope sio uchawi mkuu, it's just arithmetic and geometry.Dah.. Mkuu wewe mchawi
Mkuu ntakuwa nakutafuta ili niwe naweka mkekaNope sio uchawi mkuu, it's just arithmetic and geometry.
Au sioKaizer Chief hawezi kutoboa kwa mnyama Simba.
Hii Simba labda icheze na Barcelona ndio itatolewa, sio hawa wakina Al Ahly na Mamelodi.
Kwamba alisahau goli moja au co [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umejitoa ufaham
Umetisha mkuu [emoji109][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaizer Chiefs 4. Simba 0
Kaizer Chiefs 4. Simba 0
Timu kubwa ipi Simba au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeangalia michezo mitatu ya kaiza chiefs: 1. Wa kwanza ni ule wa juzi juzi kwenye ligi yao ya ndani. Hawakucheza vizuri na huwezi kuamini kuwa hak ndio wako robo fainali ya caf champions league. 2. Wa pili ni ule waliocheza na Horoya kwenye mashindano haya ya champions league. Kwenye mchezo huu Kaizer chiefs ilikuwa kama timu nyingine kabisa! Wanacheza mpira kwa nguvu na kujituma sana. Simba watarajie kaizer chiefs kama hii!!?. 3. Mchezo wa tatu ni ule waliocheza na mamelod sundowns kwenye ligi ya ndani!! Huwezi kuamini!! Kaizer chiefs ilikuwa bora sana na mamelod sundowns waliangukia pua! Simba ategemee kukutana na Kaizer chiefs iliyochangamka!!
Kaizer chiefs ni timu ambayo hua inapania sana inapocheza na timu kubwa kwa lengo la kujitangaza. Simba wategemee upinzanj wa hali ya juu. Naamini mwisho wa siku Simba itaibuka mshindi ila si kwa mtelemko!!
Unajiskiaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kesho naiona draw ya 1-1 Alafu kwa mkapa kaizer atakufa 2-0
Tumeona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata aje Bayern atakula 4Gkea Simba hii. Huyo Kaizer Chiefs kama mtoto wa chekechea tu. Give moya!
Etieeehhh [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah nne tena bila kwa Simba hii, hizi ni chuki binafsi
Kunywa kahawa apo ulipo ntalipa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simba leo anapigwa 4G Hamtaamini. Na ndiyo mtafahamu kwamba Gomez hana tofauti na Uchebe
Hata kwenye champions hawako vizuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lakini kwenye ligi yao hawapo nafasi nzuri sana,
Mkuu shikamoo[emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]Kaizer Chiefs 4. Simba 0
Sio angalia time ni Jana hiyoMkuu hii sio editing?
Maharageeee !!! umeshiba?Mkuu shikamoo[emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maharageeee !!! umeshiba?
Bado mdomo wako unanguvuUtopolo kimyaaaaa!! Ujasiri wa kuiponda simba umeanza kuishia! Maana kila walipoiponda iliibuka kidedea!!
Mmekwama wapi tena?Kaiza kwao anakufa goli mbili kavu.
Kwa Mkapa anakufa tatu kavu.
Hii ni kuwapa salam malalamiko f.c waone kuwa kipigo kutoka kwa mnyama hakiepukiki.