Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,987
- 1,757
Simba alipotea bissau kwa kupigwa 1 na horoya akaja dar akapigwa 3 na raja! Leo kaja na kam back kamkojolea mtu vi 7! na kutinga robo fainal Sijui kesho mwananchi itakuwaje? Ngoja niandike tu hiv maana uandish wa mafumbo mafumbo ni kama umbea uliochangamkaSimba walikuwa saba, badae wakajigawa wakawa wanne kwa watatu.. kwa mujibu wa chaba pori ambae mpiga picha na mfuatiliaji wa movement za wanyama