Utabiri wakutisha ktk mbuga za Serengeti Kifo cha Simba dume Bob Junior

Utabiri ambao umejificha ktk kifo cha Simba bob junior ama kwa akika ni Utabiri wakutisha Kuna watu wanadhani may be unahusu serikali ya sita vile umetokea na mwezi ulio tokea.
Mimi nataka kuwa ambia kile kimetokea ktk mbuga ya Serengeti ni Utabiri ambao ni very complex.

Ktk mbuga ya Serengeti palikuwa na Simba bob junior Simba huyu pamoja na kuwa Simba alikuwa Simba mtu wa watu Simba alie kuwa na himaya kubwa kutokana na uwezo wake na nguvu zake. Ila ktk hali yakushitua palitokea kundi la Simba madume watatu makatili ambao ndio walio katisha Uhai wake. Ktk sheria za wanyama pori hakuna kuingia ugomvi wao na ndio maana kifo cha Simba huyu kilikuwa ni kifo cha uchungu na huzuni while picha zikichukulia ila kama inavyojulikana ktk maisha ya Simba huwa wanaishi kama familia na hawachangamani ndio maana unaambiwa yupo Simba rafiki wa Bob junior ajulikani alipo.

Nini Utabiri nyuma ya hili tukio. Utabiri huu ni mzito na unahusu mabadiliko yakiuongozi ktk Tanzania na kwakuwa idara kazi yao imekuwa kulinda amani na ustawi wake wao hawatoingia ktk michakato yakisiasa ambapo ndani yake kutakuwa na mtifuwano wa mwaka ktk chama kikubwa hapa Tz mbaya kuliko yote huyo Simba ambaye kwa sasa ndie mkuu kwenye huwo ukoo wenzake watatu wataibuka nakusema hutotupangia tena maana Simba huyo atataka kupanga nani awe nani kama alivyo panga hapo zamani. Sasa hawa Simba watatu wakali na katili wakiwa ndani kwa siri hawatokubali nakitakacho tokea kitakuwa white paper.

Hawa Simba watatu wataibuka kusiko julikana ila idara zitawaona japo kama wale watalii ndivyo idara zitakavyokuwa kupiga picha nakuangalia mtifuwano Wakikata na shoka.
Bifu hili la Simba dume dhidi ya majike ni bifu lakutisha sana ktk history ya Taifa letu.
Jike linalo gombaniwa ni utawala usichanganye madesa japo majike ktk Utabiri ni jinsia ila sio mmoja.
Nani alipanga nani alianda hawa Simba hatari wenye uchu wakutawala is unknown code

Pili yule Simba alie potea atakapo ona mtume kumbe Kuna white paper atapotea kusiko julikana mpaka mchakato utakapo Isha.

Note
Wakati hayo yanatokea wana jamuhuri watakuwa wakiongoza jamuhuri mpaka Moshi mweupe utoke. Hawatohusika na ugomvi wa simba.
Pili ugomvi huu ni wamasimba dume hivyo usichanganye jinsia.
Tatu Simba alie potea tafuta jinsia yake. Hii ni Tz inatisha sana

Huu ni Utabiri hivyo ukitaka amini ukitaka potezea ila ombea Taifa lako. Kwa machozi na dam.
Nakukubali Sana tumainiEl, litokee katika Jina la Yesu.
 
Wewe ni mtabiri uchwara pumbavu , unaleta porojo kisa uyu simba amejulikana tokana na kufatiliwa vizuri na watunza hifadhi, wameuana mara ngapi huko maporini wakitafuta ngome zao ? Huu mjinga wa kutafuta Kiki za kishamba ,pumbavu, wafikili utabili ni kama kula pipi,
Lengo lako kuleta taharuki ya kishamba pumbavu
Hehehehe Asante mkubwa
 
Utabiri ambao umejificha ktk kifo cha Simba Bob Junior ama kwa hakika ni Utabiri wakutisha Kuna watu wanadhani may be unahusu serikali ya sita vile umetokea na mwezi ulio tokea.

Mimi nataka kuwaambia kile kimetokea ktk mbuga ya Serengeti ni Utabiri ambao ni very complex.

Ktk mbuga ya Serengeti palikuwa na Simba Bob Junior Simba huyu pamoja na kuwa Simba alikuwa Simba mtu wa watu Simba alie kuwa na himaya kubwa kutokana na uwezo wake na nguvu zake. Ila ktk hali yakushitua palitokea kundi la Simba madume watatu makatili ambao ndio waliokatisha Uhai wake.

Ktk sheria za wanyama pori hakuna kuingia ugomvi wao na ndio maana kifo cha Simba huyu kilikuwa ni kifo cha uchungu na huzuni while picha zikichukulia ila kama inavyojulikana ktk maisha ya Simba huwa wanaishi kama familia na hawachangamani ndio maana unaambiwa yupo Simba rafiki wa Bob Junior ajulikani alipo.

Nini Utabiri nyuma ya hili tukio. Utabiri huu ni mzito na unahusu mabadiliko yakiuongozi ktk Tanzania na kwakuwa idara kazi yao imekuwa kulinda amani na ustawi wake wao hawatoingia ktk michakato ya kisiasa ambapo ndani yake kutakuwa na mtifuwano wa mwaka ktk chama kikubwa hapa Tz mbaya kuliko yote huyo Simba ambaye kwa sasa ndie mkuu kwenye huo ukoo wenzake watatu wataibuka nakusema hutotupangia tena maana Simba huyo atataka kupanga nani awe nani kama alivyo panga hapo zamani. Sasa hawa Simba watatu wakali na katili wakiwa ndani kwa siri hawatokubali na kitakacho tokea kitakuwa white paper.

Hawa Simba watatu wataibuka kusiko julikana ila idara zitawaona japo kama wale watalii ndivyo idara zitakavyokuwa kupiga picha nakuangalia mtifuwano Wakikata na shoka.
Bifu hili la Simba dume dhidi ya majike ni bifu lakutisha sana ktk history ya Taifa letu.

Jike linalo gombaniwa ni utawala usichanganye madesa japo majike ktk Utabiri ni jinsia ila sio mmoja.

Nani alipanga nani alianda hawa Simba hatari wenye uchu wakutawala is unknown code

Pili yule Simba aliepotea atakapo ona mtume kumbe Kuna white paper atapotea kusiko julikana mpaka mchakato utakapo Isha.

Note
Wakati hayo yanatokea wana jamuhuri watakuwa wakiongoza jamuhuri mpaka Moshi mweupe utoke. Hawatohusika na ugomvi wa simba.

Pili ugomvi huu ni wamasimba dume hivyo usichanganye jinsia.
Tatu Simba aliepotea tafuta jinsia yake. Hii ni Tz inatisha sana

Huu ni Utabiri hivyo ukitaka amini ukitaka potezea ila ombea Taifa lako. Kwa machozi na dam.
Ni sawa na mtu hautaki kufanya kazi halafu unaenda kwenye nyumba ya ibada unasali kweli kweli kuomba Mungu akushushie chakula na pesa kutoka mbinguni 😂.

Tuchukulie mfano Mungu akakujibia maombi yako, ukaona sasa meza inashuka kutoka mbinguni imejaa vyakula vya kila aina pamoja na ma bulungutu ya pesa hivi utabaki hilo eneo la ibada? Kama si kutimua mabio ? Sasa hii ndiyo hulka ya sisi WATANZANIA

Tunapenda mabadiliko ndiyo! ila hatupendi kuyatafuta kwa nguvu zetu tunasubiri aje masihi na mtume atuongoze kuyatafuta

TUTASUBIRI SANA ,AMKA KWENYE HIYO NDOTO MKUU
 
Huko CCM hakuna wa kumpinga mwenyekiti, JK alikua dhaifu ila alikaa miaka 10 ndio sembuse Samia?? So unless atolewe na upinzani ila ndani ya CCM hayupo wa kumfanya lolote. Mind you atasimamia vikao vyote, chaguzi zote za ndani kajaza watu wake so sioni vipi mtamuangusha.
hujaielewa hiyo coding
 
Wewe ni mtabiri uchwara pumbavu , unaleta porojo kisa uyu simba amejulikana tokana na kufatiliwa vizuri na watunza hifadhi, wameuana mara ngapi huko maporini wakitafuta ngome zao ? Huu mjinga wa kutafuta Kiki za kishamba ,pumbavu, wafikili utabili ni kama kula pipi,
Lengo lako kuleta taharuki ya kishamba pumbavu
Sikujuwi hunijuwi ila angalia maneno yako maana yanamajibu ya maneno yako.
 
Utabiri ambao umejificha ktk kifo cha Simba Bob Junior ama kwa hakika ni Utabiri wakutisha Kuna watu wanadhani may be unahusu serikali ya sita vile umetokea na mwezi ulio tokea.

Mimi nataka kuwaambia kile kimetokea ktk mbuga ya Serengeti ni Utabiri ambao ni very complex.

Ktk mbuga ya Serengeti palikuwa na Simba Bob Junior Simba huyu pamoja na kuwa Simba alikuwa Simba mtu wa watu Simba alie kuwa na himaya kubwa kutokana na uwezo wake na nguvu zake. Ila ktk hali yakushitua palitokea kundi la Simba madume watatu makatili ambao ndio waliokatisha Uhai wake.

Ktk sheria za wanyama pori hakuna kuingia ugomvi wao na ndio maana kifo cha Simba huyu kilikuwa ni kifo cha uchungu na huzuni while picha zikichukulia ila kama inavyojulikana ktk maisha ya Simba huwa wanaishi kama familia na hawachangamani ndio maana unaambiwa yupo Simba rafiki wa Bob Junior ajulikani alipo.

Nini Utabiri nyuma ya hili tukio. Utabiri huu ni mzito na unahusu mabadiliko yakiuongozi ktk Tanzania na kwakuwa idara kazi yao imekuwa kulinda amani na ustawi wake wao hawatoingia ktk michakato ya kisiasa ambapo ndani yake kutakuwa na mtifuwano wa mwaka ktk chama kikubwa hapa Tz mbaya kuliko yote huyo Simba ambaye kwa sasa ndie mkuu kwenye huo ukoo wenzake watatu wataibuka nakusema hutotupangia tena maana Simba huyo atataka kupanga nani awe nani kama alivyo panga hapo zamani. Sasa hawa Simba watatu wakali na katili wakiwa ndani kwa siri hawatokubali na kitakacho tokea kitakuwa white paper.

Hawa Simba watatu wataibuka kusiko julikana ila idara zitawaona japo kama wale watalii ndivyo idara zitakavyokuwa kupiga picha nakuangalia mtifuwano Wakikata na shoka.
Bifu hili la Simba dume dhidi ya majike ni bifu lakutisha sana ktk history ya Taifa letu.

Jike linalo gombaniwa ni utawala usichanganye madesa japo majike ktk Utabiri ni jinsia ila sio mmoja.

Nani alipanga nani alianda hawa Simba hatari wenye uchu wakutawala is unknown code

Pili yule Simba aliepotea atakapo ona mtume kumbe Kuna white paper atapotea kusiko julikana mpaka mchakato utakapo Isha.

Note
Wakati hayo yanatokea wana jamuhuri watakuwa wakiongoza jamuhuri mpaka Moshi mweupe utoke. Hawatohusika na ugomvi wa simba.

Pili ugomvi huu ni wamasimba dume hivyo usichanganye jinsia.
Tatu Simba aliepotea tafuta jinsia yake. Hii ni Tz inatisha sana

Huu ni Utabiri hivyo ukitaka amini ukitaka potezea ila ombea Taifa lako. Kwa machozi na dam.
Niliwahi kuandika DP world 🌎 sasa inatufumbua macho zaidi. Kongole muandaaji wa mchezo
 
Kwamba!!!

Bt ashambuliwe bila msaada na kwenda KWA yule aliemleta!

Rafiki yake wa KARIBU akapotea mwenye jinsia ya kike asimsaidie wakati anashambuliwa!

Baada ya hapo yule aliewatuma kumshambulia BT anageukwa na yeye asiwe na uwezo wa kuwa maintain!kunatokea vurugu!

Amri inatolewa na Jamhuri kuwa kutokana fujo zote hizo chama kimepoteza mvuto hivyo madaraka yaende kwingine KWA mtu asietarajiwa makada wenye umiliki wa UTAJIRI kupitia chama watalia na kusaga meno!

NIMEJARIBU ku DECODE!

Tusubiri mi Huwa sibezi maandishi YAKO mkuu!!
Sasha hatomsaidia BT WAKATI anashughulikiwa Sio!!

TUSUBIRI!!
Kitu inaenda upinzani, bt tumejiandaaje na mnyukano?

Maana shida hiyo haijawahi kuruhusiwa Kutokea tangu 1995!!
 
Wewe ni mtabiri uchwara pumbavu , unaleta porojo kisa uyu simba amejulikana tokana na kufatiliwa vizuri na watunza hifadhi, wameuana mara ngapi huko maporini wakitafuta ngome zao ? Huu mjinga wa kutafuta Kiki za kishamba ,pumbavu, wafikili utabili ni kama kula pipi,
Lengo lako kuleta taharuki ya kishamba pumbavu
Usiendeshwe na hisia, mambo ni mengi usoyajua.
 
Back
Top Bottom