Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,987
- 1,757
Simba alipotea bissau kwa kupigwa 1 na horoya akaja dar akapigwa 3 na raja! Leo kaja na kam back kamkojolea mtu vi 7! na kutinga robo fainal Sijui kesho mwananchi itakuwaje? Ngoja niandike tu hiv maana uandish wa mafumbo mafumbo ni kama umbea uliochangamkaSimba walikuwa saba, badae wakajigawa wakawa wanne kwa watatu.. kwa mujibu wa chaba pori ambae mpiga picha na mfuatiliaji wa movement za wanyama
Wewe ni mtabiri uchwara pumbavu , unaleta porojo kisa uyu simba amejulikana tokana na kufatiliwa vizuri na watunza hifadhi, wameuana mara ngapi huko maporini wakitafuta ngome zao ? Huu mjinga wa kutafuta Kiki za kishamba ,pumbavu, wafikili utabili ni kama kula pipi,Utabiri ambao umejificha ktk kifo cha Simba bob junior ama kwa akika ni Utabiri wakutisha Kuna watu wanadhani may be unahusu serikali ya sita vile umetokea na mwezi ulio tokea.
Mimi nataka kuwa ambia kile kimetokea ktk mbuga ya Serengeti ni Utabiri ambao ni very complex.
Ktk mbuga ya Serengeti palikuwa na Simba bob junior Simba huyu pamoja na kuwa Simba alikuwa Simba mtu wa watu Simba alie kuwa na himaya kubwa kutokana na uwezo wake na nguvu zake. Ila ktk hali yakushitua palitokea kundi la Simba madume watatu makatili ambao ndio walio katisha Uhai wake. Ktk sheria za wanyama pori hakuna kuingia ugomvi wao na ndio maana kifo cha Simba huyu kilikuwa ni kifo cha uchungu na huzuni while picha zikichukulia ila kama inavyojulikana ktk maisha ya Simba huwa wanaishi kama familia na hawachangamani ndio maana unaambiwa yupo Simba rafiki wa Bob junior ajulikani alipo.
Nini Utabiri nyuma ya hili tukio. Utabiri huu ni mzito na unahusu mabadiliko yakiuongozi ktk Tanzania na kwakuwa idara kazi yao imekuwa kulinda amani na ustawi wake wao hawatoingia ktk michakato yakisiasa ambapo ndani yake kutakuwa na mtifuwano wa mwaka ktk chama kikubwa hapa Tz mbaya kuliko yote huyo Simba ambaye kwa sasa ndie mkuu kwenye huwo ukoo wenzake watatu wataibuka nakusema hutotupangia tena maana Simba huyo atataka kupanga nani awe nani kama alivyo panga hapo zamani. Sasa hawa Simba watatu wakali hawatokubali nakitakacho tokea kitakuwa white paper.
Pili yule Simba alie potea atakapo ona mtume kumbe Kuna white paper atapotea kusiko julikana mpaka mchakato utakapo Isha.
Note
Wakati hayo yanatokea wana jamuhuri watakuwa wakiongoza jamuhuri mpaka Moshi mweupe utoke. Hawatohusika na ugomvi wa simba.
Pili ugomvi huu ni wamasimba dume hivyo usichanganye jinsia.
Tatu Simba alie potea tafuta jinsia yake. Hii ni Tz inatisha sana
Huu ni Utabiri hivyo ukitaka amini ukitaka potezea ila ombea Taifa lako. Kwa machozi na dam.
Hilo lazima atalipa tu , Mungu hataniwiHuna utabiri wowote ww famba, zaidi ya kushiriki kumuua Ben Saanane ww mrundi hunalote unajua
Umechanganyikiwa Mkuu Nenda hospitali.Utabiri ambao umejificha ktk kifo cha Simba bob junior ama kwa akika ni Utabiri wakutisha Kuna watu wanadhani may be unahusu serikali ya sita vile umetokea na mwezi ulio tokea.
Mimi nataka kuwa ambia kile kimetokea ktk mbuga ya Serengeti ni Utabiri ambao ni very complex.
Ktk mbuga ya Serengeti palikuwa na Simba bob junior Simba huyu pamoja na kuwa Simba alikuwa Simba mtu wa watu Simba alie kuwa na himaya kubwa kutokana na uwezo wake na nguvu zake. Ila ktk hali yakushitua palitokea kundi la Simba madume watatu makatili ambao ndio walio katisha Uhai wake. Ktk sheria za wanyama pori hakuna kuingia ugomvi wao na ndio maana kifo cha Simba huyu kilikuwa ni kifo cha uchungu na huzuni while picha zikichukulia ila kama inavyojulikana ktk maisha ya Simba huwa wanaishi kama familia na hawachangamani ndio maana unaambiwa yupo Simba rafiki wa Bob junior ajulikani alipo.
Nini Utabiri nyuma ya hili tukio. Utabiri huu ni mzito na unahusu mabadiliko yakiuongozi ktk Tanzania na kwakuwa idara kazi yao imekuwa kulinda amani na ustawi wake wao hawatoingia ktk michakato yakisiasa ambapo ndani yake kutakuwa na mtifuwano wa mwaka ktk chama kikubwa hapa Tz mbaya kuliko yote huyo Simba ambaye kwa sasa ndie mkuu kwenye huwo ukoo wenzake watatu wataibuka nakusema hutotupangia tena maana Simba huyo atataka kupanga nani awe nani kama alivyo panga hapo zamani. Sasa hawa Simba watatu wakali hawatokubali nakitakacho tokea kitakuwa white paper.
Pili yule Simba alie potea atakapo ona mtume kumbe Kuna white paper atapotea kusiko julikana mpaka mchakato utakapo Isha.
Note
Wakati hayo yanatokea wana jamuhuri watakuwa wakiongoza jamuhuri mpaka Moshi mweupe utoke. Hawatohusika na ugomvi wa simba.
Pili ugomvi huu ni wamasimba dume hivyo usichanganye jinsia.
Tatu Simba alie potea tafuta jinsia yake. Hii ni Tz inatisha sana
Huu ni Utabiri hivyo ukitaka amini ukitaka potezea ila ombea Taifa lako. Kwa machozi na dam.
Sawasawa..Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Ni ujijnga ujinga tu, hakuna loloteUtabiri ambao umejificha ktk kifo cha Simba bob junior ama kwa akika ni Utabiri wakutisha Kuna watu wanadhani may be unahusu serikali ya sita vile umetokea na mwezi ulio tokea.
Mimi nataka kuwa ambia kile kimetokea ktk mbuga ya Serengeti ni Utabiri ambao ni very complex.
Ktk mbuga ya Serengeti palikuwa na Simba bob junior Simba huyu pamoja na kuwa Simba alikuwa Simba mtu wa watu Simba alie kuwa na himaya kubwa kutokana na uwezo wake na nguvu zake. Ila ktk hali yakushitua palitokea kundi la Simba madume watatu makatili ambao ndio walio katisha Uhai wake. Ktk sheria za wanyama pori hakuna kuingia ugomvi wao na ndio maana kifo cha Simba huyu kilikuwa ni kifo cha uchungu na huzuni while picha zikichukulia ila kama inavyojulikana ktk maisha ya Simba huwa wanaishi kama familia na hawachangamani ndio maana unaambiwa yupo Simba rafiki wa Bob junior ajulikani alipo.
Nini Utabiri nyuma ya hili tukio. Utabiri huu ni mzito na unahusu mabadiliko yakiuongozi ktk Tanzania na kwakuwa idara kazi yao imekuwa kulinda amani na ustawi wake wao hawatoingia ktk michakato yakisiasa ambapo ndani yake kutakuwa na mtifuwano wa mwaka ktk chama kikubwa hapa Tz mbaya kuliko yote huyo Simba ambaye kwa sasa ndie mkuu kwenye huwo ukoo wenzake watatu wataibuka nakusema hutotupangia tena maana Simba huyo atataka kupanga nani awe nani kama alivyo panga hapo zamani. Sasa hawa Simba watatu wakali hawatokubali nakitakacho tokea kitakuwa white paper.
Pili yule Simba alie potea atakapo ona mtume kumbe Kuna white paper atapotea kusiko julikana mpaka mchakato utakapo Isha.
Note
Wakati hayo yanatokea wana jamuhuri watakuwa wakiongoza jamuhuri mpaka Moshi mweupe utoke. Hawatohusika na ugomvi wa simba.
Pili ugomvi huu ni wamasimba dume hivyo usichanganye jinsia.
Tatu Simba alie potea tafuta jinsia yake. Hii ni Tz inatisha sana
Huu ni Utabiri hivyo ukitaka amini ukitaka potezea ila ombea Taifa lako. Kwa machozi na dam.
Sawasawa..Porojo!, ni utaratibu wa simba baada ya kuishi kwa miaka 15,huzeeka na huishi kwa shida sana, ndipo baadhi ya watoto wa familia hutwaa madaraka kwa kumuua mfalme mzee!, let's nature tools it's place!
Mafuriko Gani wakati Mpina kakatwa hamna kitu mmefanya. Nyie mna kelele tu ila hampo organized Wala relevant. Natamani muanzishe chama ndio tuone mpo serious sio mnalinda posho zenu CCM alafu mtegemee mumuondoe mama kiulaini. Yatatokea ya membe 2020 au sitta 2010Hiki kijamaa kinajitutumua kweli kujaribu kuzuia mafuriko kwa mikono. Tulia wewe yajayo yakufurahishe.
Picha itakuwa mithili ya picha za CIA na mossad hakuna wakuaminiHuko CCM hakuna wa kumpinga mwenyekiti, JK alikua dhaifu ila alikaa miaka 10 ndio sembuse Samia?? So unless atolewe na upinzani ila ndani ya CCM hayupo wa kumfanya lolote. Mind you atasimamia vikao vyote, chaguzi zote za ndani kajaza watu wake so sioni vipi mtamuangusha.
Damu ya Ben Saanane inamlilia, hawezi kubaki Salama, hizo ni dalili za awali za kurukwa na akili.Umechanganyikiwa Mkuu Nenda hospitali.
Hamna nabii anayejipendekeza kwa viongozi.
Huko CCM hakuna wa kumpinga mwenyekiti, JK alikua dhaifu ila alikaa miaka 10 ndio sembuse Samia?? So unless atolewe na upinzani ila ndani ya CCM hayupo wa kumfanya lolote. Mind you atasimamia vikao vyote, chaguzi zote za ndani kajaza watu wake so sioni vipi mtamuangusha.