Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam FC wanaondoka na kombe la NBC PL baada ya kulikosa kwa kipindi kirefu.
Ihefu tunachukuwa ubingwa mpende msipendeNi ubashiri au utabiri?
"....Azam haina hata kocha..."Hili swala lipo kihisia zaidi. Ni mapema mno kuweza kutabiri.
Kwanza, hujajua uzito na ujazo wa vikosi husika. Usajili ndo kwanza unaanza. Azam haina hata kocha bado. Haijasajili bado mchezaji mpya.
Pili, Ligi yetu ya NBC wenye kuonyesha kiu ya kulitaka haswa ni wawili. Wanachukua kwa kupokezana, Lunyasi na Utopolo. Azam bado haijajijenga kuwa mtafuta Ubingwa.
Hata kama Azam atachukua, si kwa sababu uliona kiutaalam bali hisia zako zilikuongoza kuropoka.
Kocha wa Azam ni nani Mkuu?"....Azam haina hata kocha..."
Mkuu upo sawa kweli, ama upo upo tu?
Wakiacha Kukamia watachukua.Azam FC wanaondoka na kombe la NBC PL baada ya kulikosa kwa kipindi kirefu.
Tawireee babaIhefu tunachukuwa ubingwa mpende msipende