Utabiri wangu, Hawa ndiyo washindi wa MtvMama Awards 2016

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Zikiwa zimebaki takribani siku 4 kufanyika kwa tukio kubwa la kihistoria la tuzo za Mtvmama 2016, Huu ufuato ni utabiri wangu juu ya washindi wa tuzo hizo.

1.Best Male Artist - Wizkid (,Nigeria)

2.Artist of The year - Wizkid ( Nigeria)

3. Best Collaboration - Unconditionallybae by Alikiba & Sautsol ( Tanzania/ Kenya)

4. Best breakthrough Artist - Tekno ( Nigeria)

5. Song of the Year - Unconditionallybae by Sautsol & Alikiba ( Kenya/ Tanzania)

6. Best live Act - Eddykenzo ( Uganda)

7. Best Africa group - Sautsol (Kenya)

8. Best Female Artist - Tiwa savage ( Nigeria)

9. Best personality of the Year - Wizkid ( Nigeria)

10. Listeners Choice - Kiss Daniel ( Nigeria)

11. Best Hip pop Act - Casper Nyovest ( South Africa)
 
Pamoja ni utabiri wako lakini unatakiwa kujua kuwa Diamond hatoweza kukosa tunzo na pia ni vigumu wimbo wa sauti soul na Kiba kuchukua tunzo mara mbili hasa kwenye hicho kipengele cha song of the year ni ngumu.
Kuhusu wanaigeria kutawala hizo tunzo hilo haliitaji kuwa mtaalam wa muziki liko wazi.
NB: huu ni utabiri wangu
 

Asante mkuu kwa utabiri, unatakiwa ujue mtvmama sio afrimma, huku facts zinaongea tu, pengine ni kwel diamond angeweza kushinda tuzo hata moja ila kwa bahati yupo na mnyama starboy wizkidooo
 
Song of the year inakwenda kwa korrede bello wimbo wake wa Godwin ni wimbo uliofanikiwa zaidi africa
 
Best collaboration inakwenda kwa aka ft burna boy, khuli chana & yanga na wimbo wa Baddest
Hii ni tuzo ya aka nakuhakikishia
 
Sijajua kile kipengele cha best artist of all time kitakwenda kwa nani
 
Song of year kuna
Patoranking- my woman my everything

Korrede bello- Godwin
Emtee ft wizkid -- Roll up

Olamide --- shikiti bobo

Harrysong--- Reggue blues

Sauti sol --- unconditional bae

Kutabiri uncondional bae kushinda hapa inaitaji roho ngumu kama ya lipumba
 
Huu ushabiki utumbo kabisa..toka niambiwe ulifukuzwa nyumbani kwa dai kwa kutaka kuwa mfunga geti na mfunguaji nikajua tuu lazima uwe na kinyongo naye
Hapana tunaangalia na miamba ya kwenye muziki wa Africa. Mwaka huu wizkid na black coffee wata shine maana walinza kushine kwenye BET
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…