Utabiri wangu, Hawa ndiyo washindi wa MtvMama Awards 2016

Utabiri wangu, Hawa ndiyo washindi wa MtvMama Awards 2016

Zikiwa zimebaki takribani siku 4 kufanyika kwa tukio kubwa la kihistoria la tuzo za Mtvmama 2016, Huu ufuato ni utabiri wangu juu ya washindi wa tuzo hizo.

1.Best Male Artist - Wizkid (,Nigeria)

2.Artist of The year - Wizkid ( Nigeria)

3. Best Collaboration - Unconditionallybae by Alikiba & Sautsol ( Tanzania/ Kenya)

4. Best breakthrough Artist - Tekno ( Nigeria)

5. Song of the Year - Unconditionallybae by Sautsol & Alikiba ( Kenya/ Tanzania)

6. Best live Act - Eddykenzo ( Uganda)

7. Best Africa group - Sautsol (Kenya)

8. Best Female Artist - Tiwa savage ( Nigeria)

9. Best personality of the Year - Wizkid ( Nigeria)

10. Listeners Choice - Kiss Daniel ( Nigeria)

11. Best Hip pop Act - Casper Nyovest ( South Africa)
Sasa cassper anachukuaje best hip hop act wakat hata kwny nomination hayupo

BEST HIP HOP
Olamide (Nigeria)
Kiff No Beat(Ivory Coast)
Ycee(Nigeria)
Emtee(South Africa)
Ricky Rick(South Africa)

Na song of the year embu pitia tena nominees
“Shaktibobo” – Olamide (Nigeria)
“Reggae Blues” – Harrysongz feat Olamide, Kcee & Iyanya, Orezi (Nigeria)
“My Woman, My Everything” – Patoranking feat. Wande Coal (Nigeria)
“Godwin” – Korede Bello (Nigeria)
“Ngud” – Kwesta feat. Cassper (South Africa)
“Roll Up Re-Up” – Emtee feat. Wizkid and AKA (South Africa/Nigeria)
“Soweto Baby” – DJ Maphorisa feat. Wizkid (South Africa/Nigeria)
“Baddest” – AKA feat. Burna Boy, Khuli Chana, Yanga (South Africa/Nigeria)
“Wololo” – Babes Wodumo feat. Mampintsha (South Africa)
“Coller la Petite“ – Franko (Cameroon)
“Unconditionally bae” – Sauti Sol

Hata ww najua umecheza sana shakitibobo mwaka jana hadi uswazi wamecheza sana godwin reggae blues je hii ulikuwa ukienda club watu hawaondoki hadi ipigiee, my woman my everything, soweto baby na roll up zilikuwa n airtime kuliko iyo nyimbo yenu

Best collabo inaenda kwa aka km mwaka jana alivyochukua na all eyes on me
Au no kissing coz bado n ya moto kuliko izo zingine
 
Asante kwa utabiri ila umesahau kutabiri na kwenye best male na artist of the year
 
Pamoja ni utabiri wako likini unatakiwa kujua kuwa Diamond hatoweza kukosa tunzo na pia ni vigumu wimbo wa sauti soul na Kiba kuchukua tunzo mara mbili hasa kwenye hicho kipengele cha song of the year ni ngumu.
Kuhusu wanaigeria kutawala hizo tunzo hilo haliitaji kuwa mtaalam wa muziki liko wazi.
NB: huu ni utabiri wangu
na wewe fanya utabiri wako acha maelezo marefu.
 
Hahahahaaaaaa uyu bro bwana
Eti mond hachomoki kisa kuna wizkd ..kwan alizo chomoa back there ..wakina wiz hawakuwepo???

Huna logic
 
Mkuu wizkid ni mbwa tu mbele ya Kingkiba, wiz mziki hajui yule sema mnampa promo nyingi, kwahyo Mtvema ni uhakika King atamchapa wiz na babu yake yule black coffee saa 2 asubuhi, inshort wizkid ataendelea kuwaonea underground wenzie wakina diamond, but kwa king wiz mshenzi tu hana kitu.
Comment Hii imenifanya nikuone oheahe but sory.
 
Asante mkuu kwa utabiri, unatakiwa ujue mtvmama sio afrimma, huku facts zinaongea tu, pengine ni kwel diamond angeweza kushinda tuzo hata moja ila kwa bahati yupo na mnyama starboy wizkidooo
Kumbe uko kimahaba zaidi.
 
Mkuu wizkid ni mbwa tu mbele ya Kingkiba, wiz mziki hajui yule sema mnampa promo nyingi, kwahyo Mtvema ni uhakika King atamchapa wiz na babu yake yule black coffee saa 2 asubuhi, inshort wizkid ataendelea kuwaonea underground wenzie wakina diamond, but kwa king wiz mshenzi tu hana kitu.
Ndio maana huwa mnazimiwa mic na kushushwa jukwaani,angalia utumbo uliouongea hapa ........??
 
AnhahahahahahHHaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ali Kibaka akishinda tunzo zote ulizo tabiri hapo nipo tayari kupigwa risas mbele ya waandishi wa habari!!

Back
Top Bottom