Utabiri wangu, Hawa ndiyo washindi wa MtvMama Awards 2016

Kashasahau kua mnyama wizkido yupona king wake [emoji23] [emoji23]

Wizkid mbwa koko tu mbele ya king umesahau mombasa wizkid alianza kupandishwa jukwaan mchana jua kali alaf king akaperfom mwishon kwa kumkaribisha mnyama mwenzake Chris breezy
 
Wizkid mbwa koko tu mbele ya king umesahau mombasa wizkid alianza kupandishwa jukwaan mchana jua kali alaf king akaperfom mwishon kwa kumkaribisha mnyama mwenzake Chris breezy
we jamaa n chenga kichizi ..nilikuaga nakuonaa wa maana kumbe b..y..a tu.
 
Wizkid mbwa koko tu mbele ya king umesahau mombasa wizkid alianza kupandishwa jukwaan mchana jua kali alaf king akaperfom mwishon kwa kumkaribisha mnyama mwenzake Chris breezy
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi sawa tutaona kati ya wizkid na king kibakuli hehehe ila kiba akikosa tuzo uje hapa ulalamike tena eeeehhh
 
Sasa nimeelewa kwanini The King of Zumunda aligoma kupanda jukwaani kabla ya Wizkid.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Una roho ngumu sana kujiaminisha ali kiba ni msanii mkubwa
Mi nijuavyo ali ni msanii wa tanzania na Kenya bado hajavuka mipaka ya hizo nchi mbili
 
kumbe we ni team kiba!... siushangai utabiri wako
 
Team kiba utawajua
 
W jamaa kichwa chako ni zero ....uyo malkia kiba ni overrated ...ila yuko level moja tu na kina tecno na kina kcee ila level ya mnyama mondi na kina wizkid bado sana....endelea kujenga majungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…