hicho ni kichaa cha mapenzi, kisha ni upofu wa mapenzi!Habari wana JF sijui hili litakua tatizo, kila jambo ambalo nalihisi basi hutokea kweli
nikihisi muda huu nitatumiwa sms na mpenzi wangu basi inatokea kweli ananitumia sms
Kuna siku nyingine nahisi leo hatonitafuta basi hanitafuti kweli
I short hisia zangu nyingi hugeuka kua uhalisia
Nahitaji neno kutoka kwenu wana JF
Mshana Jr ebu saidia ufafanuzi hapa mkuu.Habari wana JF sijui hili litakua tatizo, kila jambo ambalo nalihisi basi hutokea kweli