Utabiri wangu juu ya mambo huwa kweli

Utabiri wangu juu ya mambo huwa kweli

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Habari wana JF sijui hili litakua tatizo, kila jambo ambalo nalihisi basi hutokea kweli

nikihisi muda huu nitatumiwa sms na mpenzi wangu basi inatokea kweli ananitumia sms

Kuna siku nyingine nahisi leo hatonitafuta basi hanitafuti kweli

I short hisia zangu nyingi hugeuka kua uhalisia

Nahitaji neno kutoka kwenu wana JF
 
EFF41FE2-2FC5-442A-B1B4-F6557CF2CF97.jpeg
 
hic
Habari wana JF sijui hili litakua tatizo, kila jambo ambalo nalihisi basi hutokea kweli

nikihisi muda huu nitatumiwa sms na mpenzi wangu basi inatokea kweli ananitumia sms

Kuna siku nyingine nahisi leo hatonitafuta basi hanitafuti kweli

I short hisia zangu nyingi hugeuka kua uhalisia

Nahitaji neno kutoka kwenu wana JF
hicho ni kichaa cha mapenzi, kisha ni upofu wa mapenzi!
 
Hebu tutabirie kuhusu kichaa
 
Habari wana JF sijui hili litakua tatizo, kila jambo ambalo nalihisi basi hutokea kweli

nikihisi muda huu nitatumiwa sms na mpenzi wangu basi inatokea kweli ananitumia sms

Kuna siku nyingine nahisi leo hatonitafuta basi hanitafuti kweli

I short hisia zangu nyingi hugeuka kua uhalisia

Nahitaji neno kutoka kwenu wana JF
Mshana Jr ebu saidia ufafanuzi hapa mkuu.
 
Back
Top Bottom