TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
Habari wana JF sijui hili litakua tatizo, kila jambo ambalo nalihisi basi hutokea kweli
nikihisi muda huu nitatumiwa sms na mpenzi wangu basi inatokea kweli ananitumia sms
Kuna siku nyingine nahisi leo hatonitafuta basi hanitafuti kweli
I short hisia zangu nyingi hugeuka kua uhalisia
Nahitaji neno kutoka kwenu wana JF