Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kolo tunakupa second change ya kuedit uzi wako maana ulichoandika kinasadifu umbumbumbuHayawi hayawi yamekuwa ,
Leo ni siku nyingine tena tunakutana kuangalia mchezo wa papatupapatu kati ya UTO na Malumo,
Leo utopolo watapata matokeo yatakayowashangaza ,ambayo hawajawahi kufikiria ikizingatiwa wapinzani wao ni timu inayopambana kushuka daraja ...
YANGA 2 MALUMO 4 on aggregate
View attachment 2616754