Utabiri wangu katika mchezo wa leo wa Yanga vs Marumo Kombe la Shirikisho

Hayawi hayawi yamekuwa ,

Leo ni siku nyingine tena tunakutana kuangalia mchezo wa papatupapatu kati ya UTO na Malumo,
Leo utopolo watapata matokeo yatakayowashangaza ,ambayo hawajawahi kufikiria ikizingatiwa wapinzani wao ni timu inayopambana kushuka daraja ...

YANGA 2 MALUMO 4 on aggregate

View attachment 2616754
Kolo tunakupa second change ya kuedit uzi wako maana ulichoandika kinasadifu umbumbumbu
 
Hayawi hayawi yamekuwa ,

Leo ni siku nyingine tena tunakutana kuangalia mchezo wa papatupapatu kati ya UTO na Malumo,
Leo utopolo watapata matokeo yatakayowashangaza ,ambayo hawajawahi kufikiria ikizingatiwa wapinzani wao ni timu inayopambana kushuka daraja ...

YANGA 2 MALUMO 4 on aggregate

View attachment 2616754
We jamaa hauna uafadhali kwa Arsenal umefeli hata kwa Yanga unataka afeli na umeshindwa bro kubali una gundu
 
Back
Top Bottom