Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kolo tunakupa second change ya kuedit uzi wako maana ulichoandika kinasadifu umbumbumbuHayawi hayawi yamekuwa ,
Leo ni siku nyingine tena tunakutana kuangalia mchezo wa papatupapatu kati ya UTO na Malumo,
Leo utopolo watapata matokeo yatakayowashangaza ,ambayo hawajawahi kufikiria ikizingatiwa wapinzani wao ni timu inayopambana kushuka daraja ...
YANGA 2 MALUMO 4 on aggregate
View attachment 2616754
We jamaa hauna uafadhali kwa Arsenal umefeli hata kwa Yanga unataka afeli na umeshindwa bro kubali una gunduHayawi hayawi yamekuwa ,
Leo ni siku nyingine tena tunakutana kuangalia mchezo wa papatupapatu kati ya UTO na Malumo,
Leo utopolo watapata matokeo yatakayowashangaza ,ambayo hawajawahi kufikiria ikizingatiwa wapinzani wao ni timu inayopambana kushuka daraja ...
YANGA 2 MALUMO 4 on aggregate
View attachment 2616754
Dah mimi nimekoma. Nilikua mbishi kama watani zangu waha. Topolo wamepita na hela zangu nyingi, niliweka kibunda na washika dau.Kolo tunakupa second change ya kuedit uzi wako maana ulichoandika kinasadifu umbumbumbu
Pole sana mkuu sio kosa lako bali ni kosa la timu ya wananchi maana ni wakatili sanaDah mimi nimekoma. Nilikua mbishi kama watani zangu waha. Topolo wamepita na hela zangu nyingi, niliweka kibunda na washika dau.
Inauma sana.