CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Shomari Salum KapombeSulum Kapombe, wengine tuwe washabiki tu
Sulum Kapombe, wengine tuwe washabiki tu
Hapa acheze BwalyaMzamiru hafai tutamsingizia bure katuhujumu wakati ndio uwezo wake
Mpira wa kumtumia kiungo mmoja mkabaji umepitwa na wakati.Mzamiru hafai tutamsingizia bure katuhujumu wakati ndio uwezo wake
Huyo Onyango Ndio Uchochoro Kesho Mtakuja Simulia.
Mzamiru hawezi kukaba bora Ndemla kuliko MzamiruMpira wa kumtumia kiungo mmoja mkabaji umepitwa na wakati.
Tuna option ya kumtumia Mzamiru kwa sababu Flaga ni Majeruhi.
Kutukia kiungo mmoja ni kufungwa mfano 1..Goli la morison.
Simba ilitumia kiungo mmoja mkabaji yanga wakatumia viungo wa nne
Shishimbi,Feitoto, Nyonzima na Mapinduzi.
Kutumia kiungo mmoja mkabaji ni kufungwa.
Utopolo anajipa faraja ya muda kabla ya 5g.Chama et majeruhi
Sawa KiziboChama et majeruhi
Onyango hafai kabisa kucheza simba Kenedy Juma alikuwa anakuja vizuri sana
Haya ndio makosa ya kushindwa kumbakisha Lamine Moro na kumsajili Mwamnyeto.
Onyango na wawa ni wazee mizigo.
piga bwaliaMzamiru hafai tutamsingizia bure katuhujumu wakati ndio uwezo wake
miraji mpeni nafasi kwenye hii game hamtajutaManula
Kapombe
Tshabalala
Ame
Wawa
Mkude
Ndemla*/mzamiru
Bwalya
Kondeboy
Bocco
Dilunga/Ajibu/Kahata
Kama chama atakosekana madenge ndio sub ya kwanzamiraji mpeni nafasi kwenye hii game hamtajuta