Utabiri wangu kikosi cha Simba kitakachoanza na Yanga kesho

Utabiri wangu kikosi cha Simba kitakachoanza na Yanga kesho

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
First Eleven ya simba Vs Yanga hapo kesho November 2020.

1. Aishi Manula

2. Salum kapombe

3. Mohamed Hussein

4. Pascal wawa.

5. Joash Onyango.

6. Jonas Mkude

7. Luis Misqueson

8 Muzamiru Yassin

9. John Boko

10. Chama Mwamba wa lussaka ccc

11. Kahata Nyambura.
 
Sulum Kapombe, wengine tuwe washabiki tu
 
Beno-Kapombe-Zimbwe jr-Onyango-Wawa_Mkude-Luis-Bwalya-Bocco_Chama-Cadabra.
 
Mzamiru hafai tutamsingizia bure katuhujumu wakati ndio uwezo wake
Mpira wa kumtumia kiungo mmoja mkabaji umepitwa na wakati.
Tuna option ya kumtumia Mzamiru kwa sababu Flaga ni Majeruhi.

Kutukia kiungo mmoja ni kufungwa mfano 1..Goli la morison.

Simba ilitumia kiungo mmoja mkabaji yanga wakatumia viungo wa nne
Shishimbi,Feitoto, Nyonzima na Mapinduzi.

Kutumia kiungo mmoja mkabaji ni kufungwa.
 
Mzamiru hawezi kukaba bora Ndemla kuliko Mzamiru
 
Manula
Kapombe
Tshabalala
Ame
Wawa
Mkude
Ndemla*/mzamiru
Bwalya
Kondeboy
Bocco
Dilunga/Ajibu/Kahata
 
Kwa kuwa Mimi naamini tatizo kubwa kwenye ukuta wa Simba ni kiungo mkabaji..... kikosi changu hiki hapa... 1. Aishi....2.Kapombe....3. Shabalala....4.Onyango....5. Wawa...6.Ame....7..Mkude...8. Luisi....9. Boko...10. Chama...11. Bwalya....Nyuma kutakuwa na mabeki wa kati watatu...ili Mkude akifanya kosa....Ame ana- clear...bila hivyo itabidi Wawa au Onyango ndio wafanye hiyo kazi...ambayo ni hatari kwani itaweka gape,.... Mkude atacheza juu ya Ame...Bwalya atacheza no kumi na moja lakini atakaa katikati....kwa ukuta huu... Ushindi mapema
 
Hapo hapo ndipo tunawapitia na kuwapiga nyingi.
Onyango hafai kabisa kucheza simba Kenedy Juma alikuwa anakuja vizuri sana

Haya ndio makosa ya kushindwa kumbakisha Lamine Moro na kumsajili Mwamnyeto.

Onyango na wawa ni wazee mizigo.
 
Back
Top Bottom