Utabiri wangu kuelekea pambano la Yanga Sc Vs Simba Sc

Mimi ni Yanga huyo BM bila pale kati kuwa na watu atakifanya nini? Tshishimbi hayupo, Niyonzima hayupo Balama hayupo mzee wa krosi Juma nae hatakuwepo sijui wenzangu huu ujasiri mnautoa wapi mm imani yangu ndogo sana ple kati awepo Tshishimbi, Niyonzima hata Balama asipowepo kuna Fey,Banka fresh Simba game zote mbili tulimshika pale kati timu yoyote ikikushika kati umeisha sioni hawa watoto akina fey peke yao watakachofanya pale kati tuombe mungu!
Wewe siyo yanga, ungekuwa yanga kweli ungejua nani atakuwepo na nani hatakuwepo.
 
Kabisa

Kabisa pale ndipo panaweza kuwapa edge simba
 
Ni tatizo kubwa japo Yanga wengi wapo bize tu kusema mnyama anakufa mnyama anakufa bila kuangalia kitaalam game zote mbili zile simba tulimpigia triangle moja kali sana pale kati hatokuja kusahau Papy,Niyo,Balama,Fey ah..namis sana hii kitu sijui kocha kajipangaje hiyo jpili
 
Wewe siyo yanga, ungekuwa yanga kweli ungejua nani atakuwepo na nani hatakuwepo.
Sawa ngoja tukandwe kwanza ndio utakuja kukumbuka maneno yangu,hv nyie mashabiki wa Simba na Yanga mpoje? Mtu akitoa mtazamo wake ukiwa tofauti kidogo tu anaonekana msaliti kwa taarifa yako tu game zote mbili zilizopita Simba alipata tabu sana pale kati sababu ya ile triangle ya Tshishimbi, Niyonzima na Balama haya niambie wewe unayejua Balama confirmed hatakuwepo huyo Tshishimbi nae haieleweki yawezekana sawa kapona lakini je ana matchfitness? Mara ya mwisho wewe kumuona uwanjani ni lini? haya kwenye hiyo triangle tunayoitegemea anabaki Niyo nae anasema anaendelea vzr mazoezini kaonekana na kasema tusijali mashabiki jpili atakuwepo unajuaje huenda tunapewa moyo tu? Je atakuwepo? Hv huoni Yanga tulivyopata tabu kupata matokeo mechi ambazo Papy hakuwepo nilisema na ntazidi kusema sita ya Fey na Makame siielewi wanacheza kitoto sana nafsi iridhike pale akae Tshishimbi dimba la juu akae fundi Niyonzima hapo sasa ndio unachomeka chomeka akina fey,makame,mo banka lazma mnyama afe tofauti na hapo tuombe mungu mpira mchezo wa ajabu lolote laweza tokea!
 
Kocha ampange Gadieli Maiko nafasi ya Kapombe. Shamte mbele ya Yanga hawezi kumudu.
Kuumizwa kwa Kapombe huenda ulikuwa ni mpango mkakati uliotekelezwa na Yanga, nje ya Uwanja.
Kwani aliyemuumiza Kapombe katika mechi ileile alitaka kumwumiza Chama katika majaribio mawili lakini Chama alimruka.
Wakuumizwa walikuwa ni Kapombe na Chama na huyo Mamluki.
Hakuna namna Jumapili lazima wapigwa, liwe Jua iwe Mvua.
Tumpangie kikosi Kocha wa Simba, nina uhakika Matola atasoma hapa.
Hawa waanze.

1. Manula (azungumze na wachezaji)
2. Gadieli ( akabe sana na kushambulia)
3. Hussein (atulie alijifunga goli la pili ile 2,2)
4. Nyoni ( afanye mazoezi ya spidi ni mzito)
5. Wawa (awapange mabeki)
6. Mkude ( awe makini aache rafu, alitukost)
7. Dilunga ( akabe pia)
8. Fraga (akabe pia)
9. Bocco ( ajiamini aache mchecheto ktk dabi)
10. Chama (atake kufunga anaweza)
11. Kahata ( pasi za mwisho na kufunga)

NB. Wachezaji wote wakabe na kushambulia, wakifika langoni kwanza lazima watazame goli au wenzao ili kuamua kupiga golini au kumpasia mfungaji mwenye kukaa ktk nafasi nzuri ( Mzamilu alitukost kwa kumsindiza Barama kwa macho)
Mabeki haraka warudi nyuma baada ya kunyang'anywa mpira.
Mabeki wahakikishe wanaondoe mipira yote ya juu Kross na Kona.

Yanga watakuja na Mbinu ya kulinda goli pasi ndefu na kushambulia kwa haraka kwa kustukiza, na kujiangusha kwenye mita kuanzia 25, ili wapate faulo au penati apige Morrison.

Mpira uchezwe kasi mwanzo mwisho Simba wana pumzi kupita Yanga. Mchezaji akiwa nje ya mchezo ifanyike Sub haraka.
Bocco achangamke, anacheza kwa woga na Yanga, anawaogopa mabeki wakati anawazidi nguvu na ujanja.
Wachezaji wacheze kwa kujituma dakika zote na sio kutembea uwanjani, ukichoka lala chini utolewe iingie nguvu mpya.

Sub
1. Beno
2. Kagere
3. Maquissone
4. Kenedi
5.Mlipili
6. Shibob
7. Kanda
8.Shamte

Karibu kwa maoni na ushauri
Dilunga hii mechi haimfai deo kanda au mosquissone aanze kabla yake
 
Wachezaji wa Simba Sports Club nawashauri waangalie Dabi za timu ya.

Liver Plate vs Boca Junior za Ajentina.
Kule Liver Place ina historia kama ya Simba sc na pia wana vaa jezi nyekundu.

Ili kumfunga Yanga wanatakiwa kucheza kw ina kujituma kama wanavyocheza Liver Plate.
Yaani hakuna dharau wala kupumzika, ni kushambulia mwanzo mwisho.

Kwa sasa Simba ni timu kubwa hapa nchini na ni mabingwa wa nchi mara tatu.

Ni fedheha kubwa kufungwa na timu ndogo kama Yanga kwakuwa tu, mnacheza kimikogo.
Tena kifungwa mara mbili.
Wachezaji hebu oneni aibu kidogo, kila kitu mnacho mnatembeaje uwanjani ?
Hivi mnajua jinsi mnavyowatesa washabiki na Muwekezaji ?
Mlishadhalilishwa kufungwa mbele ya Raisi wa nchi na CAF na Mwekezaji.
Hamjisikii fedheha wakati uwezo wenu ni mkubwa ?
Jitumeni vijana mna kila uwezo. Vijana mko levo za AS Vita, Nkana Nk.
Mnalalaje Uwanjani ?

Yaani hadi nimemkumbuka kocha Masoud Juma, timu ilikuwa na kasi ya 5G.
Kama angelikuwa kocha mkuu, tungelifurahia soka.
 
Mimi ni Yanga huyo BM bila pale kati kuwa na watu atakifanya nini? Tshishimbi hayupo, Niyonzima hayupo Balama hayupo mzee wa krosi Juma nae hatakuwepo sijui wenzangu huu ujasiri mnautoa wapi mm imani yangu ndogo sana ple kati awepo Tshishimbi, Niyonzima hata Balama asipowepo kuna Fey,Banka fresh Simba game zote mbili tulimshika pale kati timu yoyote ikikushika kati umeisha sioni hawa watoto akina fey peke yao watakachofanya pale kati tuombe mungu!
Umechangia point kabisa ewe mwana masumbwi a.k.a Morrison fc a.k.a utopolo 👍
 
Hii game inahitaji mfumo wa 3-5-2 au 3-2-3-1-1.
Kama unajua soka utanielewa.
 
Wachezaji wa Simba Sports Club nawashauri waangalie Dabi za timu ya.

Liver Plate vs Boca Junior za Ajentina.
Kule Liver Place ina historia kama ya Simba sc na pia wana vaa jezi nyekundu.

Ili kumfunga Yanga wanatakiwa kucheza kw ina kujituma kama wanavyocheza Liver Plate.
Yaani hakuna dharau wala kupumzika, ni kushambulia mwanzo mwisho.

Kwa sasa Simba ni timu kubwa hapa nchini na ni mabingwa wa nchi mara tatu.

Ni fedheha kubwa kufungwa na timu ndogo kama Yanga kwakuwa tu, mnacheza kimikogo.
Tena kifungwa mara mbili.
Wachezaji hebu oneni aibu kidogo, kila kitu mnacho mnatembeaje uwanjani ?
Hivi mnajua jinsi mnavyowatesa washabiki na Muwekezaji ?
Mlishadhalilishwa kufungwa mbele ya Raisi wa nchi na CAF na Mwekezaji.
Hamjisikii fedheha wakati uwezo wenu ni mkubwa ?
Jitumeni vijana mna kila uwezo. Vijana mko levo za AS Vita, Nkana Nk.
Mnalalaje Uwanjani ?

Yaani hadi nimemkumbuka kocha Masoud Juma, timu ilikuwa na kasi ya 5G.
Kama angelikuwa kocha mkuu, tungelifurahia soka.
[/QUOTE
Ile mechi wanatakiwa kupangwa watu wa kazi na wanaojituma sio watu wa kucheza na majukwaa
 
Aaaaaaa mkubwa usianze visababu mapema
Wewe ni mgeni wa matches za Simba na Yanga,hata itokee Yanga au Simba mmoja wapo anakikosi kama cha Barcelona au Man City si ajabu akafungwa, matches zao ni zaidi ya timu bora na wachezaji wazuri. Na kama unabisha subiri Jumapili ndio utaamini kuwa huyo Balama sijui nani hata kama hayupo ushindi unapatikana
 
Sawa ngoja tukandwe kwanza ndio utakuja kukumbuka maneno yangu,hv nyie mashabiki wa Simba na Yanga mpoje? Mtu akitoa mtazamo wake ukiwa tofauti kidogo tu anaonekana msaliti kwa taarifa yako tu game zote mbili zilizopita Simba alipata tabu sana pale kati sababu ya ile triangle ya Tshishimbi, Niyonzima na Balama haya niambie wewe unayejua Balama confirmed hatakuwepo huyo Tshishimbi nae haieleweki yawezekana sawa kapona lakini je ana matchfitness? Mara ya mwisho wewe kumuona uwanjani ni lini? haya kwenye hiyo triangle tunayoitegemea anabaki Niyo nae anasema anaendelea vzr mazoezini kaonekana na kasema tusijali mashabiki jpili atakuwepo unajuaje huenda tunapewa moyo tu? Je atakuwepo? Hv huoni Yanga tulivyopata tabu kupata matokeo mechi ambazo Papy hakuwepo nilisema na ntazidi kusema sita ya Fey na Makame siielewi wanacheza kitoto sana nafsi iridhike pale akae Tshishimbi dimba la juu akae fundi Niyonzima hapo sasa ndio unachomeka chomeka akina fey,makame,mo banka lazma mnyama afe tofauti na hapo tuombe mungu mpira mchezo wa ajabu lolote laweza tokea!
Iwe triangle rectangular circle au chochote mikia mharisho lazima akae
 
Back
Top Bottom