Utabiri wangu kuelekea pambano la Yanga Sc Vs Simba Sc

Wewe ni mgeni wa matches za Simba na Yanga,hata itokee Yanga au Simba mmoja wapo anakikosi kama cha Barcelona au Man City si ajabu akafungwa, matches zao ni zaidi ya timu bora na wachezaji wazuri. Na kama unabisha subiri Jumapili ndio utaamini kuwa huyo Balama sijui nani hata kama hayupo ushindi unapatikana
Amin in Shaa Allah mungu ajaalie maana nina hali mbaya watu wangu ninaowakubali wanaumia hovyo hovyo tu!
 
Kocha ampange Gadieli Maiko nafasi ya Kapombe. Shamte mbele ya Yanga hawezi kumudu.
Kuumizwa kwa Kapombe huenda ulikuwa ni mpango mkakati uliotekelezwa na Yanga, nje ya Uwanja.
Kwani aliyemuumiza Kapombe katika mechi ileile alitaka kumwumiza Chama katika majaribio mawili lakini Chama alimruka.
Wakuumizwa walikuwa ni Kapombe na Chama na huyo Mamluki.
Hakuna namna Jumapili lazima wapigwa, liwe Jua iwe Mvua.
Tumpangie kikosi Kocha wa Simba, nina uhakika Matola atasoma hapa.
Hawa waanze.

1. Manula (azungumze na wachezaji)
2. Gadieli ( akabe sana na kushambulia)
3. Hussein (atulie alijifunga goli la pili ile 2,2)
4. Nyoni ( afanye mazoezi ya spidi ni mzito)
5. Wawa (awapange mabeki)
6. Mkude ( awe makini aache rafu, alitukost)
7. Dilunga ( akabe pia)
8. Fraga (akabe pia)
9. Bocco ( ajiamini aache mchecheto ktk dabi)
10. Chama (atake kufunga anaweza)
11. Kahata ( pasi za mwisho na kufunga)

NB. Wachezaji wote wakabe na kushambulia, wakifika langoni kwanza lazima watazame goli au wenzao ili kuamua kupiga golini au kumpasia mfungaji mwenye kukaa ktk nafasi nzuri ( Mzamilu alitukost kwa kumsindiza Barama kwa macho)
Mabeki haraka warudi nyuma baada ya kunyang'anywa mpira.
Mabeki wahakikishe wanaondoe mipira yote ya juu Kross na Kona.

Yanga watakuja na Mbinu ya kulinda goli pasi ndefu na kushambulia kwa haraka kwa kustukiza, na kujiangusha kwenye mita kuanzia 25, ili wapate faulo au penati apige Morrison.

Mpira uchezwe kasi mwanzo mwisho Simba wana pumzi kupita Yanga. Mchezaji akiwa nje ya mchezo ifanyike Sub haraka.
Bocco achangamke, anacheza kwa woga na Yanga, anawaogopa mabeki wakati anawazidi nguvu na ujanja.
Wachezaji wacheze kwa kujituma dakika zote na sio kutembea uwanjani, ukichoka lala chini utolewe iingie nguvu mpya.

Sub
1. Beno
2. Kagere
3. Maquissone
4. Kenedi
5.Mlipili
6. Shibob
7. Kanda
8.Shamte

Karibu kwa maoni na ushauri
Kwa post hii maana yake simba yote mbovu..
 
Simba wanakushindeni hata hao wadada zenu jamani?
Kila mkicheza na Yangayangu mnawazidi umiliki wa mpira.
Tatizo lenu mnacheza kama wenye vitambi huki mkiamini mtawafunga Yanga.
Wenzenu wanapigana na kupata matokeo.

Yaaani mkifungwa safari hii, na Yanga na kwakuwa tunajua mna uwezo mkubwa kuwapita. Hapo watabaki wachezaji sita tu wa ndani na wa nje wanne.
Kwanini hamjifunzi kwa MANULA.
kama wote mngecheza kama MANULA, msingefedheheka.
Hongera sana MANULA.
Sisi mda hui bado tuko kwenye kikao cha kuwajadiri.
Kama huwezi kukaba, kushambulia kwa kasi, kujitolea, na kubaki kutembea uwanjani, utapoisha mkataba wako ujue ni kwaheri
 
Naona mag nyingi sana moia tinafanyaje game ya watani n ngumu ola mpaka kesho saa moja usiku else ibadilike

Simba vs Yanga

Simba mpaka sasa inaonekana ina asilimia 90% ya kushinda

Yanga wanaweza badili haya matokeo kwenda win ama drw kwa kupitia nguvu ile ile ya ahadi na pesa

Kama awatohaidiwa chochote wale wazee wa bet weka simba win na mabao zaidi ya matatu

Wafungaji wa simba

Boco

Beki mmoja huyu akitajwa wameumia sisemi

Mfungaji bora mpaka sasa

Wale wa watani wao kama wata drw

Morrison-huyu kama atacheza

2-beki wa yanga huyu kabeba mzigo wote wa ushindi

3...........

Hawa mabeki wamebeba mpaka sasa uamuzi wa ushindi wa simba ama yanga

Penalty awarded anytym

Hili tutarajia kama kutatokea fujo katika wachezaji moja ya timu zetu........

Otherwise

Kama GSM watatangaza dau Simba wanaweza kulia hii mechi kuanzia benchi la ufundi mpaka viongozi wasiamini kilichotokea
Mkuu uandishi huwa unanipa tabu sana kuuelewa.
 
Mimi ni Yanga huyo BM bila pale kati kuwa na watu atakifanya nini? Tshishimbi hayupo, Niyonzima hayupo Balama hayupo mzee wa krosi Juma nae hatakuwepo sijui wenzangu huu ujasiri mnautoa wapi mm imani yangu ndogo sana ple kati awepo Tshishimbi, Niyonzima hata Balama asipowepo kuna Fey,Banka fresh Simba game zote mbili tulimshika pale kati timu yoyote ikikushika kati umeisha sioni hawa watoto akina fey peke yao watakachofanya pale kati tuombe mungu!
Kwa nini unasema wote hao hawapo!? Labda balama tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mechi ijayo, mtabiri wa hali, maana kuna utabiri wa aina nyingi.
Ila kwa mtabiri wa kuangalia hali ya mchezo yaani Situation.

Yanga ataifunga Simba.

Kwakuwa

1. Yanga anaitegemea mechi hiyo pekee ili apate uwakilishi wa kimataifa mwakani.
2. Yanga itaingia kwa kufuata fumula ile ile iliyoifunga Simba walipokutana mara ya mwisho, na pengine wameiboresha zaidi.
3. Yanga wakifungwa wana cha kupoteza ila simba hawana chankupoteza tayali wana kitu mkononi.
4. Yanga wanaingia mchezoni kwa kujiamini kabisa huku wakimtegemea mchezaji wao mahili kabisa Morrison. Morrison ameongeza morale ya timu.
5. Mfumo wanaoutumia Yanga wa pasi ndefu na kushambulia kwa kasi huwa unafanikiwa siku zote ndio maana wanaweza kuifunga Simba hata ikiwa bora.

Simba hali ya ushindi ipo chini
Kwakuwa.

1. Tayari mwakani wanawakilisha kimataifa hivyo wanauhakika wa kupanda ndege.
2. Simba itaingia uwanjani kwa mchecheto wa kuogopa kufungwa tena na Yanga, na presha ya mashabiki wao.
3. Washambuliaji mahili wa Simba huwa hawaifungagi Yanga. John Boko toka ajiunge na Simba hajawahi kuifunga Yanga, na mechi ikiyopita hakupiga hata shuti moja on taget, mabeki wa Yanga anajua kumkaba.
Kagere toka aje Simba kaifunga Yanga goli moja tu tena la kichwa.
Sioni Mshambuliaji wa Simba wa kuifunga Yanga kwa sasa.
3. Mara nyingi makipa wa Yanga wanakuwa bora sana katika mechi yao na Simba, kama mnakumbuka jinsi Beno na Metacha walivyo daka ktk dabi.
4. Mfumo wa Simba wa pasi fupi fupi unashindwa kuifunga Yanga ambao wanacheza kimapambano zaidi. Simba wanapaswa kubadili mfumo wao kwani wanapo pasiana wenzao wanapumzika na kuvizia, wakipata mpira wanashambulia kwa juhudi zote na kupata matokeo. Angalia ile mwchi ya 2 : 2.
5. Simba wameshindwa kuifunga Yanga katika mechi tatu zilizopita, hivyo wanaonekana kuwa mbinu zao zinashindwa kupenya ngome ya Yanga.

Wabillahi Wataafiq.
 
Sure
 
Inshallah! Sisi Yanga Timu ya Wananchi tunakwenda kusababisha matatizo ndani ya klabu ya Simba!
 
Bmechi hii ingekuwa rahisi kama Simba angekuwa bingwa lakini hajafungwa na yanga lakini kitendo cha kufungwa na yanga kilimpa hasira kubwa ndio maana walimfunga Azam bila hivyo wangemwachia Azam.
Yanga wataingia na presha ya kupata matokeo ili wapate uwakilishi na pia wanajua Simba wanataka kulipa kisasi

qUOTE
="Che mittoga, post: 35977080, member: 425160"]
Kwa mechi ijayo, mtabiri wa hali, maana kuna utabiri wa aina nyingi.
Ila kwa mtabiri wa kuangalia hali ya mchezo yaani Situation.

Yanga ataifunga Simba.

Kwakuwa

1. Yanga anaitegemea mechi hiyo pekee ili apate uwakilishi wa kimataifa mwakani.
2. Yanga itaingia kwa kufuata fumula ile ile iliyoifunga Simba walipokutana mara ya mwisho, na pengine wameiboresha zaidi.
3. Yanga wakifungwa wana cha kupoteza ila simba hawana chankupoteza tayali wana kitu mkononi.
4. Yanga wanaingia mchezoni kwa kujiamini kabisa huku wakimtegemea mchezaji wao mahili kabisa Morrison. Morrison ameongeza morale ya timu.
5. Mfumo wanaoutumia Yanga wa pasi ndefu na kushambulia kwa kasi huwa unafanikiwa siku zote ndio maana wanaweza kuifunga Simba hata ikiwa bora.

Simba hali ya ushindi ipo chini
Kwakuwa.

1. Tayari mwakani wanawakilisha kimataifa hivyo wanauhakika wa kupanda ndege.
2. Simba itaingia uwanjani kwa mchecheto wa kuogopa kufungwa tena na Yanga, na presha ya mashabiki wao.
3. Washambuliaji mahili wa Simba huwa hawaifungagi Yanga. John Boko toka ajiunge na Simba hajawahi kuifunga Yanga, na mechi ikiyopita hakupiga hata shuti moja on taget, mabeki wa Yanga anajua kumkaba.
Kagere toka aje Simba kaifunga Yanga goli moja tu tena la kichwa.
Sioni Mshambuliaji wa Simba wa kuifunga Yanga kwa sasa.
3. Mara nyingi makipa wa Yanga wanakuwa bora sana katika mechi yao na Simba, kama mnakumbuka jinsi Beno na Metacha walivyo daka ktk dabi.
4. Mfumo wa Simba wa pasi fupi fupi unashindwa kuifunga Yanga ambao wanacheza kimapambano zaidi. Simba wanapaswa kubadili mfumo wao kwani wanapo pasiana wenzao wanapumzika na kuvizia, wakipata mpira wanashambulia kwa juhudi zote na kupata matokeo. Angalia ile mwchi ya 2 : 2.
5. Simba wameshindwa kuifunga Yanga katika mechi tatu zilizopita, hivyo wanaonekana kuwa mbinu zao zinashindwa kupenya ngome ya Yanga.

Wabillahi Wataafiq.
[/QUOTE]
 
Amiin

Ile combinesheni niliipenda aisee
Ni tatizo kubwa japo Yanga wengi wapo bize tu kusema mnyama anakufa mnyama anakufa bila kuangalia kitaalam game zote mbili zile simba tulimpigia triangle moja kali sana pale kati hatokuja kusahau Papy,Niyo,Balama,Fey ah..namis sana hii kitu sijui kocha kajipangaje hiyo jpili
 
Back
Top Bottom