Utabiri wangu kuelekea robo fainal champions leage na shirikisho Simba dhidi ya mamelodi Yanga dhidi ya pyramid

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Wanamichezo wenzangu kuelekea robo fainal caf champions league na shirikisho na huu ndio utabiri wangu.

Simba sc vs mamelodi

Pyramid vs young Africans.
 
Tunawamezea mate hao Pyramids
 
Wanamichezo wenzangu kuelekea robo fainal caf champions league na shirikisho na huu ndio utabiri wangu.

Simba sc vs mamelodi

Pyramid vs young Africans.
Mamelodi wakija bongo wakija wasije na mashabiki zao watawakuta huku huku
 
Yanga ya msimu huu haigopi kukutana na yeyote kwenye robo fainali. Na kwa kitendo chake tu cha kuongoza kundi, moja kwa moja kila timu itamheshimu.
 
Back
Top Bottom