Expensive life JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 2,971 Reaction score 9,437 Apr 4, 2023 #1 Wanamichezo wenzangu kuelekea robo fainal caf champions league na shirikisho na huu ndio utabiri wangu. Simba sc vs mamelodi Pyramid vs young Africans.
Wanamichezo wenzangu kuelekea robo fainal caf champions league na shirikisho na huu ndio utabiri wangu. Simba sc vs mamelodi Pyramid vs young Africans.
Kilimbatzz JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 9,134 Reaction score 14,593 Apr 4, 2023 #2 Mawawa said: Wanamichezo wenzangu kuelekea robo fainal caf champions league na shirikisho na huu ndio utabiri wangu. Simba sc vs mamelodi Pyramid vs young Africans. Click to expand... Tunawamezea mate hao Pyramids
Mawawa said: Wanamichezo wenzangu kuelekea robo fainal caf champions league na shirikisho na huu ndio utabiri wangu. Simba sc vs mamelodi Pyramid vs young Africans. Click to expand... Tunawamezea mate hao Pyramids
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Apr 4, 2023 #3 Simba na yanga zote zitafuzu. Draw ikiwa hivyo
Kilimbatzz JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 9,134 Reaction score 14,593 Apr 4, 2023 #4 Mawawa said: Wanamichezo wenzangu kuelekea robo fainal caf champions league na shirikisho na huu ndio utabiri wangu. Simba sc vs mamelodi Pyramid vs young Africans. Click to expand... Mamelodi wakija bongo wakija wasije na mashabiki zao watawakuta huku huku
Mawawa said: Wanamichezo wenzangu kuelekea robo fainal caf champions league na shirikisho na huu ndio utabiri wangu. Simba sc vs mamelodi Pyramid vs young Africans. Click to expand... Mamelodi wakija bongo wakija wasije na mashabiki zao watawakuta huku huku
Kilimbatzz JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 9,134 Reaction score 14,593 Apr 4, 2023 #5 FRESHMAN said: Simba na yanga zote zitafuzu. Draw ikiwa hivyo Click to expand... Na ikawe hivyo
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Apr 4, 2023 #6 Yanga ya msimu huu haigopi kukutana na yeyote kwenye robo fainali. Na kwa kitendo chake tu cha kuongoza kundi, moja kwa moja kila timu itamheshimu.
Yanga ya msimu huu haigopi kukutana na yeyote kwenye robo fainali. Na kwa kitendo chake tu cha kuongoza kundi, moja kwa moja kila timu itamheshimu.
Kilimbatzz JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 9,134 Reaction score 14,593 Apr 4, 2023 #7 Tate Mkuu said: Yanga ya msimu huu haigopi kukutana na yeyote kwenye robo fainali. Na kwa kitendo chake tu cha kuongoza kundi, moja kwa moja kila timu itamheshimu. Click to expand... Na tutawapelekea moto
Tate Mkuu said: Yanga ya msimu huu haigopi kukutana na yeyote kwenye robo fainali. Na kwa kitendo chake tu cha kuongoza kundi, moja kwa moja kila timu itamheshimu. Click to expand... Na tutawapelekea moto