jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
- Thread starter
-
- #21
Mkuu, naona wakati upo eneo lenye network kwa wingi. Kumbuka itafika muda network itakuwa ngumu kupatikana kama kawaida
Msimu huu tumestuka mapema. Kitu ni point tu
Ligi bado mbichi sana. On the way kuna kupoteza mechi!Naona mmeanza na point moja na goal difference 0 huku simba ana point 3 na gd 7
Ligi bado mbichi sana. On the way kuna kupoteza mechi!
Kipindi hicho atakua eneo hatarishi Mkuu ha ha ha!Mkuu, naona wakati upo eneo lenye network kwa wingi. Kumbuka itafika muda network itakuwa ngumu kupatikana kama kawaida
Akisha soma upepo katikati ya msimu kuelekea mwishoni atatapokea tu. Ataibuka tena mwanzo wa msimu mwingineKipindi hicho atakua eneo hatarishi Mkuu ha ha ha!
Umeibuka aisee....we kimeo.Mkuu, kwa Simba hii network kamwe haiwezi kua tatizo.
Akisha soma upepo katikati ya msimu kuelekea mwishoni atatapokea tu. Ataibuka tena mwanzo wa msimu mwingine
Weka dauTubet aisee
Umeibuka aisee....we kimeo.
Propaganda hazina nafasi kwenye Soccer, vipi kuhusu zile 7 mlizofungwa Afrika Kusini ktk game ya kirafiki Mzee?!!Simba inaweza kufunga magoli zaidi ya 80, hii imekuja baada ya mechi zake 4 za karibuni, 2 za kirafiki na moja ya ligi na moja ya ngao ya hisani huku ikiwa imeshinda magoli 22,kati ya hayo, 17-0 magoli nje ya penalt, na 5 ya penalti huku wakiwa wamefungwa magoli chini ya ma5 ya penalti.
Too little. Teh teh teh100k
Kupata vichekesho kama hivi tuma neno WA MCHANGANI kwenda 15678