Utabiri wangu mechi ya ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba

Weka sasa hivi ili uweke ya wachezaji ambao hawatacheza kabisa.
Yanga 🐸 2 - Simba 🐏 1

🐸 dakika ya 19
🐏 dakika ya 52
🐸 dakika ya 81

(Majina ya wafungaji nitaweka siku ya mechi baada line up kutoka)
 
Yanga [emoji196] 2 - Simba [emoji231] 1

[emoji196] dakika ya 19
[emoji231] dakika ya 52
[emoji196] dakika ya 81

(Majina ya wafungaji nitaweka siku ya mechi baada line up kutoka)
[emoji196] vs [emoji1019]

Marehemu alijitabiria kifo chake. Jeneza fc
 
Huu mwezi kwa wale wataalam wa nyota na unajimu wanasema huu ni msimu wa Simba
Huu uzi umeandikwa na mpiga ramli mashuhuri kabisa kusini mwa jangwa la sahara.

Hapo juu ni utabiri wa mechi ya fa iliyopita. Unaweza kuona tofauti ya dakika katika goli la kwanza kati ya nilivyotabiri na kilichokuja kutokea. Pia Nabi asingemtoa makambo kabla ya dakika ya 78, lazima Makambo angefunzga tena kwa boko ya Onyango.

Wana Simba naomba kwenye mikeka ya kesho tumpe Yanga ili tumfilisi Kanjibai.

Nguvu moja, nyuma mwiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…