Utabiri wangu mechi ya ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba

jaman acheni ushabiki huo ni utabiri wake hamn haja ya kutukana wala kusema vibaya
 
Mechi Kati ya hawa watu haijawahi kutabilika! Ila mkumbuke moja ya wadhamini wa hizi timu ni betting company! Hivyo yasiyowezekanika yanaweza kuwezanishwa!
 
Hatumuwazi kabisaaaa, Chama yupo sahiv, atalambishwa nyasi, unaikumbuka eeeeeh??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chama hamna kitu pale sasa hivi, anatembelea nyota yake ya zamani kama Boko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…