Utabiri wangu mechi ya Simba na Yanga, tarehe 8 Machi

Utabiri umebumaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
Bora uliwapa matumaini. Mikia ni rahisi sana kuwadanganya. Ndio anachofanya manara. Anawaaminisha timu yao ina uwezo wa kukipiga na Barcelona. Wanajaa kichwa. Huu uzi uliwaongezea libichwa simbwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji617][emoji808]
Jr[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kuwa mpole
Bora uliwapa matumaini. Mikia ni rahisi sana kuwadanganya. Ndio anachofanya manara. Anawaaminisha timu yao ina uwezo wa kukipiga na Barcelona. Wanajaa kichwa. Huu uzi uliwaongezea libichwa simbwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Halafu unacheka utafikiri mazuri
Joo vp mbona unachukulia serious?
Mambo mengine chukulia kirahisi. Hata wewe ungeweza kuandika kwamba umeoteshwa Yanga/Simba ataua bao 10.
Na kama kna mtu angekutukana basi ni mpumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…