Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]kumbe daily post zako za uganguzi hua unatulisha matango pori, leo ndo naamini
Bora uliwapa matumaini. Mikia ni rahisi sana kuwadanganya. Ndio anachofanya manara. Anawaaminisha timu yao ina uwezo wa kukipiga na Barcelona. Wanajaa kichwa. Huu uzi uliwaongezea libichwa simbwaUtabiri umebumaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Kweli kabisa,nilitaka nimtafute anitatulie shida yangu ila kwa utabiri huu ,nimeghairii[emoji3]Uaminifu utapotea kwa wateja wako, kuwa makini mzee[emoji109][emoji109][emoji109]
Hapo vipi?Tuendelee kusubiri.Baba kubaliana tu kiukweli kuwa Wewe shabiki wa Simba mahaba yalikuzidi ukashindwa kutafsiri nyota vizuri.Kiupande ulikuwa sawa kuwa Nyota ya simba inang'aa mana simba wameposess kuliko Yanga lakin ilipokuja kutafsiri upande wa Yanga mahaba niue na sasa Yamekuua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu unacheka utafikiri mazuri[emoji23][emoji23]Asante
Jr[emoji769]
Mmmmh....! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2]...! Wageuze tena mkuu watakubali tuKiroho Simba kashinda hukuona zile direct shorts zilizookolewa?
Jr[emoji769]
Utabiri wa Mshana ni batili[emoji3][emoji3] ,matokeo yamekua vice versaa. Yanga oyeeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora uliwapa matumaini. Mikia ni rahisi sana kuwadanganya. Ndio anachofanya manara. Anawaaminisha timu yao ina uwezo wa kukipiga na Barcelona. Wanajaa kichwa. Huu uzi uliwaongezea libichwa simbwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Joo vp mbona unachukulia serious?Halafu unacheka utafikiri mazuri