Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Nabii koko Lwiva , njoo some pumba zako
 
Pumba vipo wapi
Soma sentensi yako hii " hadi kufika 2024, sa100 hatakuwa kachokwa na uchumi wa nchi utakuwa umekufa kabisa ila sijui kama yeye mwenyewe atakuwa na moyo wa kutaka madaraka kinyume na watz"
 
Soma sentensi yako hii " hadi kufika 2024, sa100 hatakuwa kachokwa na uchumi wa nchi utakuwa umekufa kabisa ila sijui kama yeye mwenyewe atakuwa na moyo wa kutaka madaraka kinyume na watz"
Sasa hapo nini kimekosewa nionyeshe vyote vipo sawa ukumsikia yeye mwenyewe kaanza kudai tunakopa sana na maneno yake yameanza kupingana mdomoni ...mara kukopa ndiyo maendeleo mara tunakopa sana mara yeye siyo rais wa wanyonge mara yeye ni rais wa wanyonge ...wewe akili zako ni dogo sana hakuna kisicho timia kati ya hayo niliyo eleza Samia akubaliki hatandani ya ccm ...sema genge chafu la Rostam azizi ndiyo linamlazimisha kubaki kitini kwa hofu kuwa akiondoka mambo yatakuwa mabaya kwao na familia zao maana ghadhabu ya watanganyika ni kubwa juu yao .....Samia anajilazimisha kuwa rais na mikopo aliyo kopa imesha iva sasa tunaanza kulejesha hali ya uchumi itskuwa mbaya ashukuru sgr na bwawa la umeme...kama sivyo hata umeme udinge patikana Tanzania
 
Endelea kuota ndoto. Hakuna Rais ambaye amewahi kukubalika na kila Mtanzania. Na ukiishi kutaka kuridhisha makundi yote utaondoka hujafanya kitu. Jiandalie Tramadol za kutosha maana, Samia tunaye hadi 2030
 
Amina.

Mungu ni mwema.
Hapa hakuna utabiri wowote bali ni accident iliyofanya tuwe na rais wa kike. Wewe uliandika kuwa kutakuwa na mtifuano na suluhisho atakuwa rais mwanamke i.e. uki assume kuwa Magufuli angemaliza muda wake halafu kinyang'anyiro cha wagombea ndiyo kingetoa rais wa kike. Kinyume chake, rais wa kike aliiingia kwa ''ajali'' na uchaguzi wa 2025 akaogopa kukabiliana na upinzani wowote ndani ya chama chake na nje. Akaandaa uchaguzi fake.. Umekosea sana na wala huhitaji pongezi zozote.
 
Reactions: Lax
Endelea kuota ndoto. Hakuna Rais ambaye amewahi kukubalika na kila Mtanzania. Na ukiishi kutaka kuridhisha makundi yote utaondoka hujafanya kitu. Jiandalie Tramadol za kutosha maana, Samia tunaye hadi 2030
Rais wa nchi zooote za dunia hii hawawezi kukubalika na raia wote. Ila wanatakiwa wawe na majority support, kitu ambacho Samia hana. Samia amejipisha na hatuna uhakika kama tunaweza kuwa naye mpaka 2030 hasa hali ya nchi ilivyo na mauaji anayofanya.
 
Yametimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…