Utabiri wangu: Yanga 3......0 medeana

Utabiri wangu: Yanga 3......0 medeana

Leo nmepata urahisi wa kuweza kujua matokeo ya baadaye kati ya wananchi dhidi ya medeana fc tofauti na mechi ya Jana ya kolos

Mitambo yanagu inaniambia mwanchi anaenda kushinda 3......0 + kucheza soka safi
NB tuonyeshe uzalendo.... muhimu Simba na Yanga zipite robo fi
Ww acha kuiweka simba pamoja na mambo ya ushenzi hayo
 
Utabiri umetumia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo nmepata urahisi wa kuweza kujua matokeo ya baadaye kati ya wananchi dhidi ya medeana fc tofauti na mechi ya Jana ya kolos

Mitambo yanagu inaniambia mwanchi anaenda kushinda 3......0 + kucheza soka safi
NB tuonyeshe uzalendo.... muhimu Simba na Yanga zipite robo final
Imetimia
 
Back
Top Bottom