Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
🤣😃Weka namba tukurushie pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣😃Weka namba tukurushie pesa
Hata Almaruhum Sheikh Yahaya AliwezaNi wachache sana watu kama sisi [emoji23]
YametimiaLeo nmepata urahisi wa kuweza kujua matokeo ya baadaye kati ya wananchi dhidi ya medeana fc tofauti na mechi ya Jana ya kolos
Mitambo yanagu inaniambia mwanchi anaenda kushinda 3......0 + kucheza soka safi
NB tuonyeshe uzalendo.... muhimu Simba na Yanga zipite robo final

nyau atakula mkono tena ama anaweza asilete timuMara paaap Simba vs Yanga CAFCL Final
Hata saa bovu kuna wakati linapatia majira. Hongera kwa ushindi mnonoUtabiri umetumia [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilitaka kuutazama mpira wa leo Kwa siku ya Jana Ila nilikosea kuweka concentration nikaona mambo tofauti na mpira.Mambo Gani mkuu