Utabiri wangu: Yanga 3......0 medeana

Utabiri wangu: Yanga 3......0 medeana

Leo nmepata urahisi wa kuweza kujua matokeo ya baadaye kati ya wananchi dhidi ya medeana fc tofauti na mechi ya Jana ya kolos

Mitambo yanagu inaniambia mwanchi anaenda kushinda 3......0 + kucheza soka safi
NB tuonyeshe uzalendo.... muhimu Simba na Yanga zipite robo final
Yametimia
 
Unetabiri vyema
 
Binafsi upo vizuri Mimi nilichungulia nikaona mambo ambayo sio ya mpira nadhani kwasababu nililala mapema.
 
Mkuu Wewe ni mchawi..Yanga wachawi mmeroga au matokeo mlikuwa mshayapanga mmenunua matokeo
 
Back
Top Bottom