Utabiri wangu: Yanga watashinda kwa mgoli 2 dhidi ya CR Belouizdad na yote yatafungwa na Mzize

Wacha weeh!😀
 
Wewe ni mpuuuzi
 
Hamna kitu!!
 
Mkuu LIKUD haina haja ya kujitoa bwana. Kwenye maisha ya soka huwa hakuna haja sana ya kutimiza ahadi za namna hii.

Mwisho wa siku soka ni mchezo tu kama michezo mingine, siyo kitu serious hivyo. Baki tu mkuu na maisha yaendelee.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…