Utabiri: Yanga itafungwa na Azam katika mechi ya ngao ya jamii

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Ikiwa imebaki wiki moja kabla ya mechi ya Yanga Vs Azam katika mchezo wa ngao ya jamii, ubashiri wangu unaonesha Yanga atatolewa na Azam katika mtanange huo.

Azam Fc iliyosajili vizuri itacheza na Yanga iliyoondokewa na mastaa wake tegemezi.

Baada ya dakika 90’ ubao utakuwa unasoma hivi Yanga 0-2 Azam. Na matokeo hayo yatawanya Azam Fc kuingia fainali huku wakisubiri mshindi wa Simba Vs Singida.

Poleni sana wana Yanga.
 
Kwa akili za namna hii, wacha muendelee tu kuitwa mbumbumbu.
 
Sawa; ndoto yako imetimia leo.
 
Mtabiri fake wewe tena hufai hata kwenye jamii yaani ni sawa umejitabiria mwenyewe (yanga 0-2 Azam), ubao umepinduliwa huu
 
Nimechelewa na majibu yamekwisha toka umepatia mkuu ila ni ubao umeanguka inaonesha yanga kachukua yale magoli mawili na zile 0kachukua azam
 
Ulijitabiria ushuzi na dua lako limegeuka kama ulivyoombea ubaya kwa wenzio.
 
Utabiri..... Azam 2 Yanga 0

Matokeo... Azam 0 Yanga 2

[emoji41]
 
Kolowizard lipo linauchungulia uzi wake kama vile linavyomchungulia mama mkwe🤣🤣🤣
 
ubao unasomaje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…